Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi

    Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi

    Jun 12, 2019 03:38

    Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar akiwa safarini nchini Uingereza amesema: "Saudi Arabia ni nguvu ya uharibifu katika eneo lote la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) na Afrika."

  • Qatar: Saudia na Imarati zinachochea ugaidi na taharuki katika eneo

    Qatar: Saudia na Imarati zinachochea ugaidi na taharuki katika eneo

    Jun 10, 2019 03:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman Aal Thani amesema sera za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabi zinashadidisha ugaidi na kuchochea taharuki katika eneo la Asia Magharibi na barani Afrika.

  • Mwenendo wa kuongezeka hitalafu za ndani katika nchi za Kiarabu, kushindwa Saudi Arabia

    Mwenendo wa kuongezeka hitalafu za ndani katika nchi za Kiarabu, kushindwa Saudi Arabia

    Jun 07, 2019 21:45

    Mvutano unaoendelea kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, ambao ulianza tarehe 5 Juni mwaka 2017, uliingia rasmi katika mwaka wake wa tatu hapo tarehe 5 mwezi Juni mwaka huu, katika hali ambayo hakuna dalili zozote zinazoonyesha kwamba mvutano huo utamalizika hivi karibuni.

  • Siasa za pamoja za Iran na Qatar; uimarishaji wa usalama wa eneo

    Siasa za pamoja za Iran na Qatar; uimarishaji wa usalama wa eneo

    Jun 06, 2019 04:01

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba Iran inataka kuimarisha usalama wa eneo zima la Asia Magharibi na kwamba haina nia ya kuanzisha mapigano na nchi yoyote ile. Hata hivyo ameongeza kuwa iwapo Iran itashambuliwa na nchi yoyote katika eneo basi nchi hiyo itapata jibu la kuifanya ijute ni kwa nini ilianzisha mashambulizi.

  • Rouhani: Iran inafanya juhudi za kuimarisha usalama wa Asia Magharibi

    Rouhani: Iran inafanya juhudi za kuimarisha usalama wa Asia Magharibi

    Jun 05, 2019 07:12

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi za kuimarisha usalama katika eneo la Asia Magharibi na haina hamu wala nia yoyote ya kuingia vitani na nchi nyingine.

  • Nukta nne muhimu za kushindwa vikao vya Makka

    Nukta nne muhimu za kushindwa vikao vya Makka

    Jun 05, 2019 07:58

    Katika hali ambayo siku nne zimepita tokea kufanyika vikao vya Makka lakini bado matokeo mabaya na hata yaliyo kinyume na matarajio ya waandaaji wa vikao hivyo yangali yanaendelea kuakisiwa kieneo na kimataifa.

  • Vikao vya Makka; 'hapana' ya Qatar kwa siasa za mifarakano za Wasaudi

    Vikao vya Makka; 'hapana' ya Qatar kwa siasa za mifarakano za Wasaudi

    Jun 04, 2019 23:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kwamba taarifa zilizotolewa mwishoni mwa vikao viwili vya viongozi wa Baraza la Ghuba ya Uajemi na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) huko katika mji mtakatifu wa Makka haziungwi mkono na serikali ya Doha.

  • Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Jun 04, 2019 01:57

    Qatar imelaani jinai ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kuuvamia Msikiti wa al Aqsa na kuwajeruhi Waislamu kadhaa waliokuwa wanasali msikitini humo kwa kushirikiana na wanajeshi katili wa Israel.

  • Qatar yakosoa taarifa ya Makka dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Qatar yakosoa taarifa ya Makka dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Jun 03, 2019 01:47

    Qatar imesema haiungi mkono taarifa dhidi ya Iran zilizotolewa katika vikao vya nchi za Kiarabu na Kiislamu katika mji wa Makka nchini Saudi Arabia hivi karibuni.

  • Amir wa Qatar hatoshiriki kikao cha Makka

    Amir wa Qatar hatoshiriki kikao cha Makka

    May 30, 2019 03:47

    Amir wa Qatar amekataa ombi la mfalme wa Saudi Arabia la kufanya safari katika mji wa Makka na badala yake amemtuma Waziri wake Mkuu kumwakilisha huko Saudia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS