Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Vikao vya Makka; 'hapana' ya Qatar kwa siasa za mifarakano za Wasaudi

    Vikao vya Makka; 'hapana' ya Qatar kwa siasa za mifarakano za Wasaudi

    Jun 04, 2019 23:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kwamba taarifa zilizotolewa mwishoni mwa vikao viwili vya viongozi wa Baraza la Ghuba ya Uajemi na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) huko katika mji mtakatifu wa Makka haziungwi mkono na serikali ya Doha.

  • Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani

    Jun 04, 2019 01:57

    Qatar imelaani jinai ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kuuvamia Msikiti wa al Aqsa na kuwajeruhi Waislamu kadhaa waliokuwa wanasali msikitini humo kwa kushirikiana na wanajeshi katili wa Israel.

  • Qatar yakosoa taarifa ya Makka dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Qatar yakosoa taarifa ya Makka dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Jun 03, 2019 01:47

    Qatar imesema haiungi mkono taarifa dhidi ya Iran zilizotolewa katika vikao vya nchi za Kiarabu na Kiislamu katika mji wa Makka nchini Saudi Arabia hivi karibuni.

  • Amir wa Qatar hatoshiriki kikao cha Makka

    Amir wa Qatar hatoshiriki kikao cha Makka

    May 30, 2019 03:47

    Amir wa Qatar amekataa ombi la mfalme wa Saudi Arabia la kufanya safari katika mji wa Makka na badala yake amemtuma Waziri wake Mkuu kumwakilisha huko Saudia.

  • Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina

    Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina

    May 25, 2019 05:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar sambamba na kukosoa mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain, imesema matakwa ya wananchi wa Palestina lazima yajumuishe kwenye mipango yoyote ya amani na maendeleo inayowahusu.

  • Amir wa Qatar: Tutaendelea kuliunga mkono taifa madhulumu la Palstina

    Amir wa Qatar: Tutaendelea kuliunga mkono taifa madhulumu la Palstina

    May 12, 2019 08:27

    Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani amesema kuwa, msimamo wa Doha wa kuunga mkono na kutetea haki za taifa madhulumu la Palestina ni thabiti na usiotetereka.

  • Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kusimamisha mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina

    Iran: Nchi za Kiislamu zinapaswa kusimamisha mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina

    May 07, 2019 03:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuchua hatua zote kuhakikisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina.

  • Syria yaridhia ombi la serikali ya Qatar la kutaka ndege zake kutumia anga ya nchi hiyo

    Syria yaridhia ombi la serikali ya Qatar la kutaka ndege zake kutumia anga ya nchi hiyo

    Apr 24, 2019 09:25

    Wizara ya Usafirishaji ya Syria imekubali ombi la Shirika la Ndege la Qatar Air Ways la kutumia anga ya nchi hiyo kwa ndege zake, ambapo Damascus imetoa kibali hicho.

  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan apigwa kalamu nyekundu kwa mashinikizo ya Saudia na Imarati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan apigwa kalamu nyekundu kwa mashinikizo ya Saudia na Imarati

    Apr 19, 2019 08:48

    Baraza la Kijeshi la Mpito nchini Sudan limempiga kalamu nyekundu Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kutokana na hatua yake ya kuonyesha kuwa tayari kukutana na ujumbe wa Qatar.

  • Qatar yataka Jenerali Haftar wa Libya awekewe vikwazo vya silaha

    Qatar yataka Jenerali Haftar wa Libya awekewe vikwazo vya silaha

    Apr 16, 2019 22:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ametoa mwito wa kuwekewa vikwazo vya silaha Jenerali Khalifa Haftar na vikosi vyake vinavyofanya mashambulizi ya kudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS