Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Amiri wa Qatar aondoka ghalfa katika kikao cha nchi za Kiarabu

    Amiri wa Qatar aondoka ghalfa katika kikao cha nchi za Kiarabu

    Mar 31, 2019 10:13

    Amiri wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani leo Jumapili ameondoka ghalfa katika kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) mjini Tunis, Tunisia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Marekani haiwezi kulazimisha kwa mabavu mpango wake wa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman: Marekani haiwezi kulazimisha kwa mabavu mpango wake wa "Muamala wa Karne"

    Mar 19, 2019 23:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Yusuf bin Alawi amesema: Marekani haiwezi kuutekeleza mpango wa "Muamala wa Karne" pasi na kukubali kuwepo nchi huru ya Palestina.

  • Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Malengo ya safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia katika nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi

    Mar 05, 2019 10:45

    Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia, Jumatatu ya tarehe 4 Machi alianza safari yake ya siku nne katika nchi nne za Qatar, Saudi Arabia, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).

  • Mkuu wa Baraza Kuu la Libya atembelea Qatar wakati huu wa kuongezeka ushindani kati ya nchi za Kiarabu

    Mkuu wa Baraza Kuu la Libya atembelea Qatar wakati huu wa kuongezeka ushindani kati ya nchi za Kiarabu

    Mar 03, 2019 12:07

    Mkuu wa Baraza Kuu la Libya amefanya safari rasmi ya kuitembelea nchi ndogo ya Qatar katika wakati huu ambapo nchi hiyo imezingirwa kila upande na nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Imarati, Bahrain na Misri.

  • Sisitizo la Qatar juu ya udharura wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kuwa na maelewano na Iran

    Sisitizo la Qatar juu ya udharura wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi kuwa na maelewano na Iran

    Mar 01, 2019 04:22

    Muhammad bin Abdulrahman bin Jassim Aal Thani Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za Ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuwa na maelewano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, nchi hizo zinahitajia kuwa na maelewano na Tehran.

  • Qatar: Nchi za Kiarabu zina haja ya kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Qatar: Nchi za Kiarabu zina haja ya kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Feb 27, 2019 23:00

    Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zina wajibu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran kwani zinaihitajia nchi hiyo.

  • Qatar: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lifikie mwafaka na Iran

    Qatar: Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lifikie mwafaka na Iran

    Feb 26, 2019 11:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani amewataka wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (PGCC) kufikia mwafaka na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Makabiliano ya Saudia na Qatar nchini Sudan

    Makabiliano ya Saudia na Qatar nchini Sudan

    Jan 27, 2019 08:22

    Baada ya safari ya siku mbili ya Rais Omar al-Bashir wa Sudan mjini Doha, Qatar Mfalme wa Saudia pia alituma ujumbe huko Sudan ulioongozwa na mmoja wa mawaziri wake kwa ajili ya kukutana na al-Bashir.

  • Qatar: Tofauti zetu na Saudia zingali ziko pale pale, (P)GCC haijasaidia chochote kuzitatua

    Qatar: Tofauti zetu na Saudia zingali ziko pale pale, (P)GCC haijasaidia chochote kuzitatua

    Jan 24, 2019 00:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, tofauti zilizojitokeza kati ya nchi yake na Saudi Arabia zingali ziko pale pale; na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC halijatoa msaada wowote kwa ajili ya kutatua mvutano huo.

  • Qatar yaipa Somalia msaada wa kijeshi, UAE yatengwa

    Qatar yaipa Somalia msaada wa kijeshi, UAE yatengwa

    Jan 18, 2019 04:04

    Qatar imeipa Somalia msaada wa kijeshi wa magari 68 ya deraya katika kile ambacho kimetajwa kuwa ni ishara ya kuongezeka ushawishi wa Qatar nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS