Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Waqatari wapinga kuhuishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Waqatari wapinga kuhuishwa uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Oct 28, 2018 04:43

    Makundi mbalimbali ya wananchi wa Qatar yametangaza kuwa yanapinga kuhuishwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel sambamba na kushuhudiwa harakati za baadhi ya nchi za Kiarabu za kutaka kuhuisha uhusiano na utawala huo wa Kizayuni.

  • Waziri wa Ulinzi wa Qatar: Imarati na Saudia zinapaswa kuiomba radhi Qatar

    Waziri wa Ulinzi wa Qatar: Imarati na Saudia zinapaswa kuiomba radhi Qatar

    Oct 27, 2018 23:04

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi wa Qatar ameashiria matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Muhammad bin Salman kwamba Saudi Arabia ina hamu ya kuanzisha tena uhusiano na Qatar na kusisitiza kwamba: Nchi nne zilizoisusia na kuiwekea vikwazo Qatar zinapaswa ziiombe radhi.

  • Serikali ya Qatar nayo yaitaka Saudi Arabia kueleza walipo raia wake waliotekwa nyara na nchi hiyo

    Serikali ya Qatar nayo yaitaka Saudi Arabia kueleza walipo raia wake waliotekwa nyara na nchi hiyo

    Oct 15, 2018 01:16

    Huku dunia ikiwa bado inaishinikiza Saudia kuweka wazi hatma ya mwandishi wa habari na mkosoaji wake aliyetoweka katika ubalozi wa nchi hiyo nchini Uturuki, serikali ya Qatar kupitia mkuu wa kamisheni ya kitaifa ya haki za binaadamu, ameitaka Riyadh kuieleza Doha kuhusu hatma ya raia wake waliotekwa nyara na utawala wa Aal Saud.

  • Ndege za Qatar Airways kuendelea na safari za Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Ndege za Qatar Airways kuendelea na safari za Iran licha ya vikwazo vya Marekani

    Oct 09, 2018 04:33

    Shirika la ndege la Qatar Airways limesema safari za ndege za shirika hilo za kwenda na kutoka Iran zitaendelea kama kawaida, licha ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Saudia, Imarati na Marekani kuunda muungano wa kijeshi Pembe ya Afrika

    Saudia, Imarati na Marekani kuunda muungano wa kijeshi Pembe ya Afrika

    Oct 01, 2018 00:03

    Gazeti moja la nchini Qatar limefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu kwa kushirikiana na Saudi Arabia zina nia ya kuunda muungano mwingine wa kijeshi wa nchi kadhaa katika eneo la Pembe ya Afrika.

  • Amir wa Qatar: Hitilafu zimelilemaza Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Amir wa Qatar: Hitilafu zimelilemaza Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Sep 26, 2018 04:45

    Akizungumza jana usiku katika Mkutano wa 73 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko New York, Amir wa Qatar amekosoa vikwazo vya Saudi Arabia na waitifaki wake dhidi ya nchi yake na kusema hitilafu zilizopo zimelilemaza Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi.

  • Qatar yaonyesha wasi wasi wake kutokana na ujasusi unaofanywa na Imarati dhidi yake

    Qatar yaonyesha wasi wasi wake kutokana na ujasusi unaofanywa na Imarati dhidi yake

    Sep 01, 2018 00:08

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetoa taarifa ikionyesha wasi wasi wake juu ya ujasusi unaofanywa na baadhi ya shakhsia wa Imarati dhidi ya nchi hiyo.

  • Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen

    Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen

    Aug 31, 2018 02:02

    Balozi wa Qatar nchini Marekani amezishutumu Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuwa na ushirikiano wa siri na magaidi wa al-Qaeda nchini Yemen.

  • Qatar yakerwa na jinai za kivita zinazotendwa na Saudia nchini Yemen

    Qatar yakerwa na jinai za kivita zinazotendwa na Saudia nchini Yemen

    Aug 29, 2018 10:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amekosoa ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai za kivita zinazotendwa na Saudia na Imarati nchini Yemen.

  • Gazeti la Saudia: Mahujaji wa Qatar wachague Hijja au kuuangusha utawala wa nchi yao

    Gazeti la Saudia: Mahujaji wa Qatar wachague Hijja au kuuangusha utawala wa nchi yao

    Aug 15, 2018 03:00

    Gazeti la Okaz la nchini Saudi Arabia limewataka mahujaji wa Qatar kuchagua moja kati ya mawili, ima kufanya ibada ya Hijja na kuunga mkono utawala wa Al Thani na kwamba iwapo wanataka kutekeleza ibada hiyo, basi wanatakiwa kwanza kuuondoa madarakani utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS