-
Saudia: Sharti serikali ya Qatar itume vikosi Syria ili isipinduliwe
Apr 25, 2018 02:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amesema iwapo serikali ya Qatar inataka isiondolewe madarakani na iendelee kudhaminiwa usalama na Marekani, sharti itume wanajeshi wake nchini Syria.
-
Nchi zinazoizingira Qatar zakariri madai yao kwa Doha kama sharti la kufungua upya mahusiano
Apr 13, 2018 02:53Kwa mara nyingine nchi nne za Kiarabu zainazoizingira Qatar ambazo ni Saudi Arabia, Bahrain, Imarati na Misri, zimekariri masharti yao 13 kwa serikali ya Doha kama njia ya kufungua upya uhusiano wao na nchi hiyo.
-
Marekani yaiuzia Qatar makombora 5000 huku mgogoro na Saudia ukitokota
Apr 11, 2018 00:05Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangza idhini ya kuiuzia Qatar makombora 5000 yenye thamani ya dola milioni 300 huku mgogoro baina ya nchi hiyo ndogo na Saudia ukizidi kutokota.
-
Saudia inapanga kuigeuza Qatar kisiwa na jalala la takataka za nyuklia
Apr 10, 2018 12:25Saudi Arabia inapanga kuanzisha mradi wa ujenzi wa mfereji kwenye mpaka wake wa pamoja wa ardhini na Qatar ambao utaigeuza nchi hiyo ndogo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi kuwa kisiwa.
-
Malengo ya safari ya Amiri wa Qatar nchini Russia
Mar 28, 2018 05:58Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani, Amiri wa Qatar amefanya safari nchini Russia na kukutana na Rais Vladmir Putin wa nchi hiyo ambapo wamezungumzia masuala mbalimbali.
-
Qatar: Imarati imetutaka kuachana na maandalizi ya Kombe la Dunia 2022 ili iache kutuzingira
Mar 24, 2018 10:16Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Qatar amefichua kwamba, nchi nne zinazoizingira nchi hiyo zikiongozwa na Saudi Arabia, zimetoa sharti zito kwa Doha kwamba, inatakiwa kuchagua moja ya mambo mawili, ima kuachana na maandalizi ya michuano ya kombe la dunia 2022, au kuendelea kuzingirwa na nchi hizo.
-
Bara la Afrika ni medani ya duru mpya ya malumbano baina ya Qatar na kundi la Kiarabu la 3+1
Mar 15, 2018 03:46Ushahidi unaonyesha kuwa, bara la Afrika sasa limegeuka na kuwa medani mpya ya mashindano ya kuwania ushawishi katika mgogoro unaonedelea kutokota baina ya Qatar na madola ya Kiarabu ya 3+1.
-
Kurejea tena uhusiano wa Qatar na Jordan; ishara ya kuendelea kufeli Saudi Arabia Mashariki ya Kati
Mar 13, 2018 23:13Baada ya kupita miezi tisa ya kukata uhusiano na Qatar, serikali ya Jordan imechukua hatua za kuanzisha tena uhusiano wake na Doha baada ya kuhuisha tena ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji vitega uchumi na nchi hiyo.
-
Sudan: Tuko tayari kupanua ushirikiano wetu na nchi ya Qatar
Mar 12, 2018 03:52Ibrahim Ghandour, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Sudan amesema kuwa, nchi yake iko tayari kustawisha ushirikiano wake na nchi ya Qatar.
-
Vita vipya vya maneno kati ya Saudi Arabia na Qatar
Mar 10, 2018 04:34Vita vya maneno baina ya viongozi wa Qatar na Saudi Arabia kwa mara nyingine tena vimeshika kasi na kugonga vichwa vya habari.