Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Marekani kuwekeana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati; Doha yaishtaki Abu Dhabi kwa UN

    Marekani kuwekeana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati; Doha yaishtaki Abu Dhabi kwa UN

    Mar 09, 2018 00:25

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani jana (Alkhamisi) ilisema kuwa karibuni hivi nchi hiyo itatiliana saini mikataba mipya ya silaha na Qatar na Imarati ambayo itakuwa na thamani ya dola milioni 467.

  • Filamu ya matukio yathibitisha: Saudia na washirika wake walihusika katika njama ya mapinduzi Qatar

    Filamu ya matukio yathibitisha: Saudia na washirika wake walihusika katika njama ya mapinduzi Qatar

    Mar 05, 2018 22:57

    Kanali ya televisheni ya Aljazeera ya Qatar imeonyesha filamu ya matukio (documentary film) iitwayo "Qatar 96" inayothibitisha kuwa Saudi Arabia, Imarati (UAE), Bahrain na Misri zilihusika katika jaribio lililofeli la mapinduzi ya kijeshi la mwaka 1996 nchini Qatar.

  • Mazungumzo ya Sheikh Tamim na Ismail Hania; kuendelea uungaji mkono wa Qatar kwa Gaza

    Mazungumzo ya Sheikh Tamim na Ismail Hania; kuendelea uungaji mkono wa Qatar kwa Gaza

    Feb 09, 2018 22:08

    Siku ya Alkhamisi, Sheikh Tamim bin Ahmad Aal Thani, Amir wa Qatar alifanya mazungumzo na Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS. Baada ya mazuangumzo hayo, Sheikh Tamim alitoa msaada wa Dola milioni 9 kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar

    Feb 02, 2018 04:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al Thani amesema, baada ya nchi yake kuwekewa mzingiro na Saudi Arabia na waitifaki wake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ndio njia pekee ya kudhaminia dawa na chakula kwa wananchi wa Qatar.

  • UAE iliilipa kampuni ya Marekani kueneza propaganda dhidi ya Qatar

    UAE iliilipa kampuni ya Marekani kueneza propaganda dhidi ya Qatar

    Jan 21, 2018 04:18

    Shirika la habari la NBC News limefichua kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu uliilipa kampuni moja ya Marekani dola 333,000 ili kueneza propaganda chafu dhidi ya Qatar mwaka jana.

  • Sababu za kuongezeka mvutano kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu

    Sababu za kuongezeka mvutano kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu

    Jan 13, 2018 00:14

    Licha ya kupita zaidi ya miezi 7 tokea kuanza mvutano kati ya Qatar na nchi nyingine nne za Kiarabu za kundi la 3+1, si tu kwamba hakuna dalili zozote zinazoonyesha kupungua mvutano huo bali umekuwa ukiongezeka siku baada ya nyingine.

  • Qatar yaishitaki Imarati UNSC kutokana na hatua zake za kichokozi

    Qatar yaishitaki Imarati UNSC kutokana na hatua zake za kichokozi

    Jan 12, 2018 00:49

    Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amewasilisha mashitaka kwa Baraza la Usalama la Umoja dhidi ya Imarati kutokana na hatua yake ya kichokozi ya kukiuka anga yake.

  • Qatar: Iran ingelitaka ingeliweza kututesa kwa njaa

    Qatar: Iran ingelitaka ingeliweza kututesa kwa njaa

    Jan 11, 2018 12:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema kuwa, lau ingelitaka, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ingeliweza kutumia tofauti zake za kisiasa na Doha kuwatesa kwa njaa wananchi wa Qatar, lakini kamwe haikufanya hivyo.

  • Qatar: Mzingiro wa Saudia, waitifaki wake dhidi yetu ni vita vya kiuchumi

    Qatar: Mzingiro wa Saudia, waitifaki wake dhidi yetu ni vita vya kiuchumi

    Jan 11, 2018 04:13

    Qatar imesema kukatwa uhusiano wa kidiplomasia, mzingiro na vikwazo ilivyowekewa na Saudi Arabia na waitifaki wake ni vita vya kiuchumi na Doha ipo mbioni kuhakikisha kuwa inafidiwa kutokana na hatua hizo za kiuhasama.

  • Mgogoro wa Qatar unazidi kuwa mkubwa, Saudia yazidisha mashinikizo

    Mgogoro wa Qatar unazidi kuwa mkubwa, Saudia yazidisha mashinikizo

    Dec 20, 2017 23:11

    Katika kile kinachoonekana ni kukosekana matumaini kabisa ya kutatuliwa mgogoro ulioanzishwa na Bani Saud dhidi ya Qatar, serikali ya kifalme ya Saudi Arabia imeamua kuufunga kikamilifu kivuko cha mpaka wake wa ardhini na Qatar ambacho ilikifungua kidogo wakati wa msimu wa Hija.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS