Pars Today
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amethibitisha kuwa nchi yake inafanya mazungumzo na Iraq, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Qatar kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo".
Amir wa Qatar amemteua Sultan Salmeen Saeed Al-Mansouri kuwa balozi wa mpya wa nchi hiyo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran ameonana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na wamejadiliama njia za kustawisha zaidi uhusiano baina yao na pia ushirikiano na uhusiano mzuri wa nchi za eneo hili zima.
Qatar na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia na tayari mabalozi wa pande hizo mbili wameanza kazi.
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar kuwa kupanua na kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni kipaumbele cha kwanza cha sera za nje za nchi hiyo.
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unabeba dhima ya kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika msikiti wa al-Aqswa kutokana na hatua za kichochezi za utawala huo vamizi
Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar amefanya safari hapa mjini Tehran ambapo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesisitiza kuendelezwa juhudi ili kukurubisha mitazamo kati ya Iran na nchi za Magharibi katika mazungumo ya nyuklia.