-
Qatar: Tuna matumaini ya kupatikana usitishaji vita Ukanda wa Ghaza
Mar 19, 2024 23:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesema kuwa, kumeshuhudiwa maendeleo mazuri kwenye mazungumzo ya kusimamisha vita na ana matumaini mazungumzo hayo yatazaa matunda mazuri.
-
Lolwah Al-Khater: Hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel Gazah ni mauaji ya kimbari
Feb 28, 2024 23:32Lolwah Al-Khater, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Qatar amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gazah ni kielelezo cha wazi cha mauaji ya kimbari.
-
Amir wa Qatar asisitiza ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni Ukanda wa Gaza
Feb 28, 2024 08:20Amir wa Qatar amesisitiza kuwa kuna ulazima wa kusitishwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Abdollahian aonana na Haniya, asema Wapalestina hawataburuzwa na maajinabi
Feb 14, 2024 04:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kuburuzwa na nchi za kigeni na kusisitiza kuwa, hatima ya taifa la Palestina ipo mikononi mwa Wapalestina wenyewe.
-
Qatar: Hamas imetoa jibu chanya kwa mpango wa Gaza wa kufikia mapatano ya kusitisha vita
Feb 07, 2024 02:26Waziri Mkuu wa Qatar amesema Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa "jibu chanya" kuhusiana na uwezekano wa kufikia usitishaji vita mpya katika Ukanda wa Gaza na kubadilishana mateka kati yake na utawala wa Israel.
-
Amir wa Qatar: Mashambulio ya Israel Gaza yasimamishwe, usitishaji vita utekelezwe haraka
Jan 08, 2024 02:42Amir wa Qatar amesisitiza juu ya kusimamishwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kutekelezwa haraka usitishaji vita katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Amir Abdollahian: Ushirikiano wa karibu wa Iran na Qatar ni dhihirisho la kuaminiana kati ya nchi mbili
Dec 19, 2023 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amsema kuwa ushirikiano wa karibu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika changamoto na masuala mbalimbali ya kimataifa na kikanda unaonyesha hali ya kuaminiana iliyopo kati ya nchi mbili.
-
Iran: Israel inawajihiwa na siku za kutisha kutokana na majibu makali ya muqawama
Dec 07, 2023 00:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema wanamapambano wa makundi ya muqawama ya Palestina wameendelea kutoa majibu makali na ya nguvu kwa uvamizi wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, na kwamba mwenendo wa majibu hayo utauweka utawala wa Kizayuni kwenye hali mbaya katika siku zijazo.
-
Kan'ani: Usitishaji vita Gaza ni hatua ya kwanza ya kusitisha jinai za kivita za utawala wa Kizayuni
Nov 24, 2023 02:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa usitishaji vita wa muda wa kibinadamu uliofikiwa Ukanda wa Gaza ni hatua ya awali kuelekea kusitisha jinai za kivita za utawala wa Kizayuni unaouwa watoto.
-
Qatar yasikitishwa na utendaji kazi wa Baraza la Usalama huko Ghaza
Oct 26, 2023 23:02Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amelalamikia siasa za utolewaji misaada ya kibinadamu huko Ghaza na kushindwa Baraza la Usalama kupitisha azimio kuhusiana na matukio ya eneo hilo.