-
Taathira za kisaikolojia zinazotokana na usomaji wa Qur'ani Tukufu
Mar 21, 2025 15:52Mtaalamu mmoja wa masuala ya kifamilia amesema kuhusu taathira za kusoma Qur'ani Tukufu kwa mtazamo wa saikolojia kuwa: Kusoma maandishi ya Aya za Qur'ani na kuyazingatia kwa kina hutuliza moyo wa msomaji na hivyo kumpa somo la kujifahamu; kwa njia ambayo humfanya apate kutambua vizuri uwezo na udhaifu wake katika mazingira tofauti.
-
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (3)
Mar 12, 2025 09:13Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza kipindi kingine maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
-
Maonyesho ya "Qur'ani katika Macho ya Wengine" yafunguliwa Tunisia
Feb 17, 2025 04:34Maonyesho ya "Qur'ani katika Macho ya Wengine" yamefunguliwa katika Maktaba ya Kitaifa ya Tunisia, na yataendelea hadi Aprili 30, kwa ushirikiano wa Taasisi ya Urithi wa Kitaifa na Taasisi ya Utafiti wa Kisasa wa Maghreb.
-
Mwanasiasa mwenye chuki dhidi ya Uislamu Denmark avunjia heshima Qur'ani
Feb 02, 2025 11:01Mwanasiasa mwenye uraia pacha wa Sweden na Denmark na mwenye chuki dhidi ya Uislamu, Rasmus Paludan kwa mara nyingine tena ameivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu hicho kitakatifu cha Waislamu katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Yafunguliwa Algeria
Jan 22, 2025 13:33Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Kuhifadhi na Kusoma Qur'ani ya Algeria yamefunguliwa huko Algiers, mji mkuu wa Algeria.
-
Sababu za kusalia imara Kambi ya Muqawama: "Imani na kutawakali kwa Mola Muumba"
Oct 31, 2024 09:35Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika Makala ya Wiki ambayo leo inazungumzia kwa ufupi sababu za kuendelea kuimarika Kambi ya Muqawama na mapambano dhidi ya dhulma na Uonevu.
-
CAIR: Israel imetangaza vita dhidi ya Uislamu kwa kuchoma moto Qur'ani
Aug 26, 2024 02:30Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limelaani vikali kitendo cha wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuchoma moto nakali za Qur'ani Tukufu katika Ukanda wa Gaza.
-
Askofu Mkuu wa Azerbaijan, Iran alaani kuvunjiwa heshima Qurani Sweden
May 06, 2024 07:11Askofu Mkuu wa Kanisa la Armenia katika eneo la Azerbaijan la kaskazini magharibi mwa Iran ameashiria kitendo cha karibuni cha kuchoma moto nakala ya Qur'ani tukufu nchini Sweden na kulaani vitendo hivyo vya kuyavunjia heshima matukufu ya kidini.
-
Rais Raisi ahimiza kutekelezwa kivitendo mafundisho ya Qur'ani Tukufu
Apr 01, 2024 04:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuzingatia mafundisho wa Qur'ani Tukufu katika nyuga zote ni jambo la dharura kwa ajili ya mafanikio ya wanadamu ya duniani na Akhera.
-
Kuwaunga mkono wananchi na muqawama wa Ghazza ndilo jukumu kubwa la kiQur'ani leo hii
Feb 22, 2024 11:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amesisitiza kuwa, kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi na muqawama wa Ukanda wa Ghazza ndilo jukumu kubwa zaidi la kiQur'ani hivi sasa.