Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu udharura wa kueneza utamaduni na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani

    Apr 16, 2019 01:58

    "Kutekeleza mafundisho ya Qur'ani kunaandaa uwanja wa kupatikana izza (heshima), ustawi, maendeleo, nguvu, mshikamano, mtindo mzuri wa maisha katika dunia na kudhaminiwa saada na ufanisi wa Akhera."

  • Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti

    Mahojiano na mshindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya mjini Tehran + Sauti

    Apr 14, 2019 13:46

    Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yamemalizika leo Jumapili, Aprili 14, 2019 hapa mjini Tehran na kushindanisha washiriki kutoka nchi 83 za dunia.

  • Wenye chuki na Uislamu Denmark waivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuuchoma moto msahafu

    Wenye chuki na Uislamu Denmark waivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuuchoma moto msahafu

    Mar 23, 2019 03:32

    Katika harakati nyingine ya uenezaji chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia), kiongozi wa chama kimoja cha mrengo wa kulia chenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini Denmark ameuchoma moto msahafu mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.

  • Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani yafanyika nchini Nigeria

    Mashindano ya kitaifa ya Qur'ani yafanyika nchini Nigeria

    Dec 31, 2018 04:35

    Mashindano ya 33 ya kitaifa ya kila mwaka ya Qur'ani nchini Nigeria yanaendelea kufanyika kwa kushirikisha majimbo 33 ya nchi hiyo katika fani sita za Qur'ani tukufu.

  • Vyuo Vikuu vya Ujerumani kuanza kutumia mafunzo ya Qurani

    Vyuo Vikuu vya Ujerumani kuanza kutumia mafunzo ya Qurani

    Dec 25, 2018 23:10

    Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imeunda makundi mawili ya utafiti kwa lengo la kubuni mfumo wa kidijitali wa kuhifadhi maelezo na uchambuzi wa Qurani Tukufu na 'Sheria za Qurani'.

  • Al Azhar yalaani wito wa kufutwa aya za Qur'ani

    Al Azhar yalaani wito wa kufutwa aya za Qur'ani

    Jun 12, 2018 03:47

    Sheikh Mkuu wa Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib amekosoa vikali wito uliotolewa na kundi la eti wasomi na wanasiasa wa Ufaransa wa kufutwa aya za Qur'ani tukufu.

  • Mkuu wa Kituo cha Kiislamu UK: Kwa mtazamo wa Imam Khomeini, Qur'ani imeleta ujumbe wa umoja

    Mkuu wa Kituo cha Kiislamu UK: Kwa mtazamo wa Imam Khomeini, Qur'ani imeleta ujumbe wa umoja

    Jun 03, 2018 10:32

    Mkuu wa Kituo cha Kiislamu nchini Uingereza ameashiria Wasia wa Kimaanawi na Kisiasa wa Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba, kwa mtazamo wa kiongozi huyo Qur'ani imeleta ujumbe wa amani na umoja kwa jamii ya wanadamu.

  • Waislamu, Wakristo Uganda walalamikia kutozwa ushuru Misahafu, Biblia

    Waislamu, Wakristo Uganda walalamikia kutozwa ushuru Misahafu, Biblia

    May 15, 2018 09:44

    Viongozi wa kidini nchini Uganda wamekosoa vikali hatua ya Mamlaka ya Kukusanya Ushuru nchini humo URA kuanza kutoza ushuru wa forodha suhula za kidini zinazoingizwa nchini humo kama nakala za Qurani na Biblia.

  • Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo

    Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo

    May 08, 2018 22:27

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amelitaja kundi la shakhsia 300 wa Ufaransa wanaotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati kuwa ni genge lisilo la maana na linalopaswa kutwezwa.

  • Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video

    Mshiriki wa Tanzania katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran +Video

    May 01, 2018 13:02

    Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu ya Iran yalimalizika Jumatano 15 Aprili hii huku kukitolewa wito wa Umoja na kushikamana na Qur'ani Tukufu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS