Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • "Kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kuukata roho uhuru na ni kuangamiza itikadi"

    Sep 04, 2020 12:05

    Jumuiya ya Walimu wa Chuo Kikuu cha Kidini (Hawza) cha Qum hapa Iran imelaani vikali kuvunjiwa heshima matukufu ya Qur'ani Tukufu na Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kisingizio cha uhuru wa itikadi kwa hakika ni kuukata roho uhuru huo na kungamiza kijinai, itakadi ya watu.

  • Taarifa ya Chuo Kikuu cha al-Mustafa juu ya kuvunjiwa heshima Qurani, Sweden

    Taarifa ya Chuo Kikuu cha al-Mustafa juu ya kuvunjiwa heshima Qurani, Sweden

    Sep 04, 2020 07:25

    Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa kimetoa taarifa ya kulaani hatua ya kuvunjiwa heshima na kuchomwa moto nakala ya Qurani Tukufu nchini Sweden.

  • Kiongozi Muadhamu: Kutomuogopa adui, ni katika mafundisho muhimu ya Qurani

    Kiongozi Muadhamu: Kutomuogopa adui, ni katika mafundisho muhimu ya Qurani

    Apr 26, 2020 02:43

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.

  • Rais wa Tanzania amfuta kazi afisa wa serikali aliyeichana Qurani

    Rais wa Tanzania amfuta kazi afisa wa serikali aliyeichana Qurani

    Feb 11, 2020 12:54

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo, kuhakikisha anamuandikia barua ya kumfukuza kazi mfanyakazi wa wizara hiyo aliyechana na kuitemea mate Qurani Takatifu mkoani Morogoro.

  • Taasisi za Kiislamu Norway zagawa nakala za Qur'ani kwa raia baada ya kitabu hicho kuvunjiwa heshima

    Taasisi za Kiislamu Norway zagawa nakala za Qur'ani kwa raia baada ya kitabu hicho kuvunjiwa heshima

    Dec 05, 2019 10:52

    Taasisi tatu za Waislamu wa Norway zimesambaza na kugawa bure nakala za Qur'ani tukufu baina ya raia wa nchi hiyo siku chache baada ya kundi moja lenye misimamo mikali kukivunjia heshima kitabu hicho kitakatifu na matukufu mengine ya Kiislamu.

  • Iran yawasilisha malalamiko kwa serikali ya Norway baada ya Qur'ani kuchomwa moto nchini humo

    Iran yawasilisha malalamiko kwa serikali ya Norway baada ya Qur'ani kuchomwa moto nchini humo

    Nov 27, 2019 08:21

    Kaimu balozi wa Norway mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Jamhuri ya Kiislamu baada ya kiongozi wa kundi lenye misimamo mikali la SIAN kuchoma moto kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini humo.

  • Balozi wa Norway aonywa na serikali ya Pakistan kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'an Tukufu

    Balozi wa Norway aonywa na serikali ya Pakistan kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'an Tukufu

    Nov 25, 2019 08:14

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan imemwita balozi wa Norway mjini Islamabad kufuatia maandamano makubwa yaliyofanywa na raia wa Pakistan kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima kitabu cha Mwenyezi Mungu (Qur'an Tukufu) katika moja ya miji ya nchi hiyo ya Ulaya.

  • Kiongozi Muadhamu: Njia pekee ya kupata ushindi dhidi ya mashetani na makafiri ni kusimama kidete

    Kiongozi Muadhamu: Njia pekee ya kupata ushindi dhidi ya mashetani na makafiri ni kusimama kidete

    May 07, 2019 03:32

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: " Chanzo cha izza inayoongezeka na ustawi wa hali ya juu wa taifa la Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita ni kutekeleza mafundisho ya Qur'ani Tukufu hasa kuhusu kusimama kidete na leo pia njia pekee ya kupata ushindi dhidi ya mashetani na makafiri ni kusimama kidete."

  • Qarii Rajayi Ayoub wa Tanzania: Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Iran ni chanzo cha umoja wa Waislamu+Sauti

    Qarii Rajayi Ayoub wa Tanzania: Mashindano ya Kimataifa ya Qurani ya Iran ni chanzo cha umoja wa Waislamu+Sauti

    Apr 18, 2019 08:06

    Qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Tanzania Ustadh Rajayi Ayoub amesema Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran ni fursa muhimu ya kuleta umoja miongoni mwa Waislamu duniani.

  • Qarii wa Qur'ani kutoka Kenya asisitiza umoja Waislamu wa Madhehebu ya Shia na Sunni+Sauti

    Qarii wa Qur'ani kutoka Kenya asisitiza umoja Waislamu wa Madhehebu ya Shia na Sunni+Sauti

    Apr 18, 2019 07:51

    Qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya ambaye ameshiriki katika Mashindano 36 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amesema mashindano hayo yanaimarisha umoja baina ya Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS