Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Iran ina nafasi nzuri duniani katika kukabiliana na corona

    Rouhani: Iran ina nafasi nzuri duniani katika kukabiliana na corona

    Mar 29, 2020 13:11

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ripoti iliyotolewa na Waziri wa Afya hapa nchini kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) inaonyesha kuwa, Iran iko kwenye nafasi inayokubalika katika kutibu na kupambana na maambukizi ya virusi hivyo.

  • Rais Hassan Rouhani asisitiza kutekelezwa kikamilifu mipango yote ya kukabiliana na Corona

    Rais Hassan Rouhani asisitiza kutekelezwa kikamilifu mipango yote ya kukabiliana na Corona

    Mar 28, 2020 12:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ili kukabiliana na virusi vya Corona, ni lazima kutekelezwa kikamilifu na kwa uangalifu mpango wa mtengano wa kijamii nchini Iran.

  • Rouhani atangaza mikakati mipya ya kukabili corona Iran, waliopona ni zaidi ya 10,000

    Rouhani atangaza mikakati mipya ya kukabili corona Iran, waliopona ni zaidi ya 10,000

    Mar 26, 2020 12:05

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ametangaza mipango na mikakati mipya ya kudhibiti maambukizi ya kirusi cha corona hapa nchini ndani ya wiki mbili zijazo.

  • Rouhani: Nchi na mataifa yote yanapaswa kushirikiana katika kupambana na corona

    Rouhani: Nchi na mataifa yote yanapaswa kushirikiana katika kupambana na corona

    Mar 24, 2020 08:19

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kasi ya maambukizi ya virusi vya corona imekuwa maudhui ya kimataifa na kuongeza kuwa, nchi na mataifa yote yanalazimika kupambana na janga hilo.

  • Rais Rouhani: Misaada ya Marekani kwa Iran ni hadaa na uongo mkubwa wa kihistoria

    Rais Rouhani: Misaada ya Marekani kwa Iran ni hadaa na uongo mkubwa wa kihistoria

    Mar 23, 2020 14:06

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madai ya Wamarekani wanaosema kuwa wako tayari kutoa msaada wa kukabiliana na virusi vya corona kwa Iran, ni hadaa na uongo mkubwa wa kihistoria.

  • Rais Rouhani: Takwimu za mapambano ya corona nchini Iran zinatia matumaini

    Rais Rouhani: Takwimu za mapambano ya corona nchini Iran zinatia matumaini

    Mar 21, 2020 11:51

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza wananchi kutokana na kutilia maanani maagizo yanayotolewa na maafisa wa Tume ya Taifa ya Kupambana na Virusi vya Corona na kusema: Takwimu na ripoti zinazohusiana na mapambano dhidi ya virusi vya corona nchini Iran zinatia matumaini.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Marekani wasikubali nyaraka za historia ya Marekani zizidi kuwa chafu zaidi ya hivi

    Rais Rouhani: Wananchi wa Marekani wasikubali nyaraka za historia ya Marekani zizidi kuwa chafu zaidi ya hivi

    Mar 21, 2020 04:05

    Rais Hassan Rouhani amewatumia ujumbe maalumu wananchi wa Marekani akitahadharisha kuwa: Siasa zozote za uono finyu na za uhasama zitazolenga kudhoofisha mfumo wa utabibu na kuviwekea mpaka vyanzo vya fedha vya kushughulikia hali mbaya iliyoko Iran zitakuwa na athari ya moja kwa moja kwa mchakato wa kupambana na janga la dunia nzima la corona katika nchi zingine.

  • Rais Rouhani: Mwaka uliopita ulijaa hamasa kubwa ya wananchi wa Iran

    Rais Rouhani: Mwaka uliopita ulijaa hamasa kubwa ya wananchi wa Iran

    Mar 20, 2020 08:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake wa mwaka mpya wa 1399 Hijria Shamsia kwamba: Mwaka uliopita ulikuwa mwaka wa matukio na hamasa nyingi, na kwamba matukio makubwa zaidi katika historia ya nchi hii na hamasa zenye fahari kubwa zimetengenezwa na wananchi mashujaa wa Iran katika mwaka huo.

  • Kuzinduliwa miradi ya kiuchumi na miundo msingi; ishara ya uwezo mkubwa wa Iran

    Kuzinduliwa miradi ya kiuchumi na miundo msingi; ishara ya uwezo mkubwa wa Iran

    Mar 18, 2020 07:45

    Tukiwa katika siku za mwisho za mwaka wa Kiirani wa 1398 Hijria Shamshia ambao unamalizika 20 Machi 2020, vyombo vya habari vinajishughulisha kuakisi habari zinazohusu kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.

  • Rais Rouhani: Takwimu na kiwango cha mwenendo wa mapambano ya virusi vya Corona, ni zenye kutia matumaini

    Rais Rouhani: Takwimu na kiwango cha mwenendo wa mapambano ya virusi vya Corona, ni zenye kutia matumaini

    Mar 16, 2020 12:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kupongeza juhudi zisizo na kifani za watumishi wa sekta ya afya nchini hapa katika kupambana na ugonjwa wa Corona, amesema kuwa takwimu na kiwango cha mwenendo wa mapambano dhidi ya virusi vya Corona nchini Iran ni zenye kutia matumaini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS