Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Ushirikiano wa wananchi wa Iran na serikali utamaliza corona, waliopona waongezeka

    Rouhani: Ushirikiano wa wananchi wa Iran na serikali utamaliza corona, waliopona waongezeka

    Mar 15, 2020 11:20

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kukabiliana na kirusi cha corona hakutakuwa na karantini na kwamba ushirikiano wa wananchi wa Iran na maafisa wa serikali utapelekea mgogoro wa corona umalizike kwa mafanikio.

  • Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikiano

    Rais Rouhani asisitiza kuwa JCPOA itabakia hai kwa ushirikiano

    Mar 01, 2020 03:09

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kuwepo na kubakia hai madhali kutakuwepo na ushirikiano wa pande zote husika.

  • Rais Rouhani: Marekani ifikirie maelfu ya watu waliofariki nchini humo kwa homa ya mafua

    Rais Rouhani: Marekani ifikirie maelfu ya watu waliofariki nchini humo kwa homa ya mafua

    Feb 26, 2020 12:43

    Kufuatia matamshi ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran yaliyotolewa na viongozi wa Marekani, Rais Hassan Rouhani amesema: Marekani inapasa ishughulishwe na kufikiria maelfu ya watu waliofariki nchini humo kutokana na homa ya mafua.

  • Rouhani: Iran imejipanga vizuri kukabiliana na virusi vya Corona

    Rouhani: Iran imejipanga vizuri kukabiliana na virusi vya Corona

    Feb 26, 2020 04:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Iran imejitayarisha kikamilifu kwa ajili ya kupambana na virusi vya Corona na kwamba mahospitali yote hapa nchini yana vifaa vya kutosha vya kukabiliana na virusi hivyo.

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani vinashabihiana na virusi vya corona

    Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani vinashabihiana na virusi vya corona

    Feb 24, 2020 04:41

    Rais Hassan Rouhani amesema vikwazo vya Marekani vinafanana na virusi vya corona, ambapo wasi wasi unaozushwa navyo ni mkubwa kuliko ukweli wa mambo.

  • Rouhani: Iran haijafunga mlango wa mazungumzo ya kuinusuru JCPOA

    Rouhani: Iran haijafunga mlango wa mazungumzo ya kuinusuru JCPOA

    Feb 23, 2020 13:32

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijafunga mlango wa kufanya mazungumzo na nchi za Ulaya kwa shabaha ya kuyanusuru makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Rais Rouhani: Mahudhurio ya hamasa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi yanaikasirisha Marekani

    Rais Rouhani: Mahudhurio ya hamasa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi yanaikasirisha Marekani

    Feb 19, 2020 11:42

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mahudhurio ya hamasa ya wananchi wa Iran katika uchaguzi ujao wa Bunge wa Ijumaa ya keshokutwa tarehe 21 Februari yataikasirisha Marekani.

  • Rais Hassan Rouhani: Viongozi wa dunia wameshangazwa na kusimama imara taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya maadui

    Rais Hassan Rouhani: Viongozi wa dunia wameshangazwa na kusimama imara taifa la Iran mbele ya mashinikizo ya maadui

    Feb 17, 2020 11:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kuashiria njama za maadui za kutaka kusimamisha mwenendo wa maendeleo ya Iran, amesema kuwa viongozi wa nchi tofauti za dunia wamesifu na kupongeza msimamo imara wa taifa hili mkabala wa mashinikizo ya maadui.

  • Rouhani: Vikwazo dhidi ya Iran havikuwa na faida kwa maadui

    Rouhani: Vikwazo dhidi ya Iran havikuwa na faida kwa maadui

    Feb 16, 2020 14:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vilivyowekwa dhidi ya taifa la Iran havina faida kwa maadui na kuongeza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu imevuka vikwazo vya kiwango cha juu vya Marekani.

  • Rais wa Iran kuitembelea Uganda kushiriki 'Kongamano la Kusini'

    Rais wa Iran kuitembelea Uganda kushiriki 'Kongamano la Kusini'

    Feb 14, 2020 07:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anatazamiwa kuitembelea Uganda karibuni hivi kushiriki Kongamano la Kusini

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS