Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui

    Rouhani: Iran inaendelea kustawi licha ya njama za maadui

    Feb 11, 2020 12:18

    Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaendelea kustawi na kuimarika licha ya uhasama na njama za maadui hususan Marekani, na kwamba 'Mapinduzi ya Kiislamu' lilikuwa chaguo la taifa zima la Iran.

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni ugaidi dhidi ya taifa la Iran

    Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni ugaidi dhidi ya taifa la Iran

    Feb 10, 2020 15:02

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ni kitendo cha ugaidi dhidi ya taifa lote la Iran.

  • Rouhani: Vikwazo vya madawa vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni kitendo cha kigaidi

    Rouhani: Vikwazo vya madawa vya Marekani dhidi ya taifa la Iran ni kitendo cha kigaidi

    Feb 06, 2020 07:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka sheria na kanuni za kimataifa na maazimio ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kuongeza kuwa, vikwazo hivyo ni hatua ya kigaidi.

  • Rouhani: Kusimama kidete na umoja wa wananchi wa Iran; sababu ya kushindwa njama za Marekani

    Rouhani: Kusimama kidete na umoja wa wananchi wa Iran; sababu ya kushindwa njama za Marekani

    Feb 06, 2020 01:20

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kusimama kidete na umoja wa wananchi wa Iran ni sababu ya kufeli njama zote za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Rouhani: Hatua ya Iran ya kupunguza utekelezaji wa JCPOA ni kwa mujibu wa makubaliano hayo

    Rouhani: Hatua ya Iran ya kupunguza utekelezaji wa JCPOA ni kwa mujibu wa makubaliano hayo

    Feb 04, 2020 04:47

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya Tehran ya kupunguza utekelezajii wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA imechukuliwa kwa mujibu wa vipengee vya makubaliano hayo na kwa ajili ya kuyalinda.

  • Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki

    Rouhani: Muamala wa Karne ni muamala wa fedheha na chuki

    Feb 02, 2020 07:38

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja 'Muamala wa Karne' kama mpango wa Marekani wa kufedhehesha, aibu na wenye kuchukiza.

  • Rouhani: Watu wa Asia Magharibi watakabiliana na dhulma za Marekani

    Rouhani: Watu wa Asia Magharibi watakabiliana na dhulma za Marekani

    Jan 28, 2020 11:51

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema wananchi wa nchi za eneo la Asia Magharibi watakabiliana na dhulma na ubeberu wa Marekani.

  • Rais Rouhani: Umoja wa Wairani umewezesha kushinda njama za Marekani

    Rais Rouhani: Umoja wa Wairani umewezesha kushinda njama za Marekani

    Jan 27, 2020 12:25

    Rais Hassan Rouhani amesema, Marekani ilijitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na ikamuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kamanda wa kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa lengo la kutaka Iran itengwe, hata hivyo umoja na mshikamano wa wananchi wa Iran umewezesha kushindwa na kugonga mwamba njama hizo za Marekani.

  • Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran

    Rouhani: Wananchi ni chanzo halisi cha nguvu na uwezo wa Iran

    Jan 22, 2020 12:38

    Rais Hassan Rouhani amesema wananchi wa Iran ndio chimbuko la kweli na halisi la nguvu na uwezo mkubwa wa taifa hili.

  • Rais Rouhani atilia mkazo kuimarishwa ushirikiano na nchi mbalimbali za dunia

    Rais Rouhani atilia mkazo kuimarishwa ushirikiano na nchi mbalimbali za dunia

    Jan 21, 2020 12:02

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni na kielimu kati ya Iran na nchi mbalimbali za dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS