Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Marekani, chanzo cha shari zote Asia Magharibi

    Rais Rouhani: Marekani, chanzo cha shari zote Asia Magharibi

    Jan 19, 2020 03:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ndiyo chanzo cha vitendo vyote vya shari, migogoro na matatizo katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Rais Rouhani: Taifa la Iran limekuwa imara zaidi katika kukabiliana na njama na vikwazo vya Marekani

    Rais Rouhani: Taifa la Iran limekuwa imara zaidi katika kukabiliana na njama na vikwazo vya Marekani

    Jan 16, 2020 11:26

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inafuata njia ghalati kuhusu taifa la Iran. Ameongeza kuwa, taifa la Iran limezidi kuwa na nguvu na limekuwa imara zaidi mbele ya njama na vikwazo vya Marekani.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Asia Magharibi wahakikishe Marekani inaondoka katika eneo

    Rais Rouhani: Wananchi wa Asia Magharibi wahakikishe Marekani inaondoka katika eneo

    Jan 15, 2020 12:43

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna udharura kwa wananchi wa Asia Magharibi kufanya kila wawezalo kuhakikisha kwamba, majeshi ya Marekani yanaondoka katika eneo hili.

  • Rouhani: Iran ina irada ya kustawisha ushirikiano wa pande zote na Syria

    Rouhani: Iran ina irada ya kustawisha ushirikiano wa pande zote na Syria

    Jan 14, 2020 13:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran na irada ya kuimarisha na kustawisha uhusiano wa pande zote na Syria.

  • Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe

    Rais Rouhani: Jopo la uchunguzi wa ajali ya ndege ya Ukraine libuniwe

    Jan 14, 2020 12:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuundwa jopo maalumu la mahakama la kuchunguza ajali ya ndege ya Ukraine iliyoua watu 176 siku chache zilizopita hapa jijini Tehran, sanjari na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wa ajali hiyo.

  • Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Sultan mpya wa Oman

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Sultan mpya wa Oman

    Jan 13, 2020 12:31

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akimpongeza Haitham bin Tariq Al Said kuteuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman na akasema anataraji kuwa uhusiano wa Tehran na Muscat utaimarika pakubwa katika nyanja zote.

  • Rais Rouhani: Kosa la kibinadamu kutokana na vitisho vya Marekani ndiyo sababu ya kuanguka ndege ya Ukraine

    Rais Rouhani: Kosa la kibinadamu kutokana na vitisho vya Marekani ndiyo sababu ya kuanguka ndege ya Ukraine

    Jan 11, 2020 08:10

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kosa la kibinadamu lililotokana na vitisho vya Marekani vya kushambulia maeneo nyeti nchini Iran ndiyo sababu ya kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine karibu na Tehran.

  • Rais Rouhani wa Iran: Wamarekani wahitimishe hatua zao ghalati

    Rais Rouhani wa Iran: Wamarekani wahitimishe hatua zao ghalati

    Jan 10, 2020 12:03

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa anataraji kwamba Wamarekani watahitimisha hatua zao ghalati, lakini iwapo watatekeleza hatua nyingine iliyo dhidi ya maslahi ya Iran, basi watapata jibu kali mkabala.

  • Mashauriano ya kidiplomasia ya Iran kwa ajili ya kuarifisha jinai za Marekani

    Mashauriano ya kidiplomasia ya Iran kwa ajili ya kuarifisha jinai za Marekani

    Jan 10, 2020 11:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na viongozi wa nchi kadhaa jirani, nchi za Ulaya na Afrika kwamba Iran inaunga mkono amani na usalama lakini haitakaa kimya mbele ya vitimbi vya Marekani.

  • Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa na misimamo huru, usiburuzwe na Marekani

    Rais Rouhani: Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa na misimamo huru, usiburuzwe na Marekani

    Jan 10, 2020 00:36

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mahesabu ghalati na yenye madhara makubwa ya Marekani yanatokana na kushindwa nchi hiyo kuielewa vizuri Iran na eneo la Asia Magharibi. Amesisitiza kuwa, Umoja wa Ulaya unapaswa kuwa huru na usikubali kuburuzwa na Marekani na kuifanya Iran ikate tamaa kikamilifu na umoja huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS