Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani amwambia Johnson: Kama si Jenerali Soleimani hii leo London isingekuwa na amani

    Rouhani amwambia Johnson: Kama si Jenerali Soleimani hii leo London isingekuwa na amani

    Jan 09, 2020 13:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka serikali ya Uingereza ibadili msimamo wake kuhusiana na mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na Marekani dhidi ya Jenerali Qassem Soleimani.

  • Rouhani: Majibu kamili ya Iran ni kukatwa miguu ya Wamarekani Asia Magharibi

    Rouhani: Majibu kamili ya Iran ni kukatwa miguu ya Wamarekani Asia Magharibi

    Jan 08, 2020 11:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia majibu makali yaliyotolewa usiku wa kuamkia leo na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ya kuwashambulia magaidi wa Kimarekani katika kambi zao mbili za kijeshi nchini Iraq na kusema kuwa, majibu kamili ya Iran kwa jinai za Wamarekani ni kukatwa miguu yao kwenye eneo hili.

  • Rais Hassan Rouhani ajibu vitisho vya Trump asema: 'Kamwe usilitishe taifa kubwa la Iran'

    Rais Hassan Rouhani ajibu vitisho vya Trump asema: 'Kamwe usilitishe taifa kubwa la Iran'

    Jan 07, 2020 04:52

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali yake kufuatia vitsiho vya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu kuyalenga baadhi ya maeneo ya Iran kupitia ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, ambapo amemuonya kwa kusema: "Kamwe usilitishe taifa kubwa la Iran."

  • Rouhani: Marekani italipa gharama kubwa ya kumuua shahidi Soleimani

    Rouhani: Marekani italipa gharama kubwa ya kumuua shahidi Soleimani

    Jan 05, 2020 07:50

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani itabeba dhima ya matokeo mabaya na radimali za kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi la Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) na kusisitiza kuwa, Washington italipa gharama kubwa ya ugaidi wake huo.

  • Rouhani: Jina la Qassem Soleimani litabakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani

    Rouhani: Jina la Qassem Soleimani litabakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani

    Jan 04, 2020 08:16

    Rais Hassan Rouhani amesema: Jina la Luteni Jenerali Qassem Soleimani litaheshimika na kubakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani.

  • Rais Rouhani: Kuuliwa shahidi Soleimani kutazidisha azma ya Iran ya kupambana na ubeberu wa Marekani

    Rais Rouhani: Kuuliwa shahidi Soleimani kutazidisha azma ya Iran ya kupambana na ubeberu wa Marekani

    Jan 03, 2020 07:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuuliwa shahidi Meja Jenerali Qassem Solaimani aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi al Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (Sepah) kutazidisha mara dufu azma ya Iran na mataifa mengine huru ya kusimama kidete kupambana na ubeberu wa Marekani na kulinda thamani na maadili ya Kiislamu.

  • Rais Rouhani awatumia viongozi wenzake duniani salamu za mwaka mpya 2020 Miladia

    Rais Rouhani awatumia viongozi wenzake duniani salamu za mwaka mpya 2020 Miladia

    Jan 01, 2020 03:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi marais na viongozi na mataifa ya Wakristo kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa Miladia wa 2020.

  • Rouhani: Watu wa Iran ni watiifu kwa mapinduzi na kiongozi

    Rouhani: Watu wa Iran ni watiifu kwa mapinduzi na kiongozi

    Dec 31, 2019 12:34

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Watu wa Iran ni watiifu kwa Mapinduzi, Kiongozi na Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."

  • Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa Iran na India

    Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa zaidi uhusiano wa Iran na India

    Dec 23, 2019 13:14

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa na kuimarishwa zaidi uhusiano wa taifa hili na nchi ya India.

  • Rouhani: Kumefikiwa mapatano mazuri sana huko Malaysia na Japan

    Rouhani: Kumefikiwa mapatano mazuri sana huko Malaysia na Japan

    Dec 22, 2019 07:12

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye alielekea Malaysia na Japan kufuatia mwaliko rasmi wa Mawaziri Waku wa nchi hizo jana alasiri alirejea Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS