-
Rais Rouhani akiwa Japan: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havimnufaishi yoyote
Dec 21, 2019 03:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya upande mmoja ya Marekani ya kujiondoa kinyume cha sheria kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA haina maslahi kwa Marekani yenyewe wala upande wowote wa mapatano hayo ya kimataifa.
-
Rais wa Iran asisitiza ulazima wa kustafidi na suhula za Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 19, 2019 13:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa umoja na mshikamano vinaweza kusiadia ustawi wa nchi za Kiislamu na kupatia ufumbuzi matatizo ya Waislamu na kusisitiza juu ya ulazima wa kustafidi na suhula nyingi za Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuachana na mfumo wa kifedha wa Marekani
Dec 19, 2019 08:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Kiislamu una changamoto nyingi kitaifa na kimataifa na kusisitiza kuwa, nchi za Kiislamu zinapaswa kuwa na tadibiri na mikakati madhubuti ya kuachana na ubeberu wa sarafu ya dola wa kutegemea mfumo wa kifedha wa Marekani.
-
Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani
Dec 19, 2019 04:08Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uingiliaji mambo wa Marekani ndilo chimbuko la matatizo na migogoro inayoukabili uliwemwengu wa Kiislamu hii leo.
-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na nchi zote za Kiislamu kutengeneza akili bandia
Dec 18, 2019 11:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi zote za Kiislamu katika kustawisha utaalamu wa Akili Bandia (Artificial Intelligence).
-
Rais Rouhani: Iran imevibadilisha vikwazo na kuvifanya kuwa fursa
Dec 18, 2019 08:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya wananchi wa taifa hili na kusema kuwa, Tehran imesimama kidete na kuvibadilisha vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya maadui na kuwa fursa.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 08:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rouhani: Njama za Marekani dhidi ya wananchi wa eneo zitagonga mwamba
Dec 11, 2019 12:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa njama za Marekani dhidi ya Iran, Iraq, Syria, Lebanon, Afghanistan, Pakistan, Yemen na nchi nyingine za eneo hili zitafeli kwa kushirikishwa wananchi.
-
Rais Rouhani awasilisha bungeni bajeti ya mwaka ujao wa fedha wa 1399 Hijria Shamsia
Dec 08, 2019 07:34Rais Hassan Rouhani amewasilisha bungeni bajeti ya serikali ya mwaka ujao wa fedha wa 1399 Hijria Shamsia.
-
Rouhani: Mazungumzo na kundi la 5+1 yanawezekana iwapo vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran vitaondolewa
Dec 04, 2019 07:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa kundi la 5+1 iwapo Marekani italiondolea taifa hili vikwazo vyake vya kidhalimu.