Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi

    Rouhani: Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi

    Dec 03, 2019 12:22

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya taifa la Iran na kueleza kuwa Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi.

  • Rouhani: Nchi za Asia Magharibi zinapasa kuwajibika ipasavyo katika kudhamini usalama wa eneo

    Rouhani: Nchi za Asia Magharibi zinapasa kuwajibika ipasavyo katika kudhamini usalama wa eneo

    Dec 03, 2019 12:04

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi za eneo la Asia Magharibi zinapasa kushiriki katika kudhamini usalama wa eneo na kuwajibika ipasavyo katika uwanja huo. Amesema Iran imewasilisha Mpango wa Amani ya Hormoz kwa mtazamo huo.

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani ni hatua iliyo dhidi ya maazimio ya kimataifa

    Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani ni hatua iliyo dhidi ya maazimio ya kimataifa

    Nov 19, 2019 13:25

    Rais Hassan Rouhani amesema, Marekani inapaswa ijijue kwamba si kiongozi wa dunia bali ni nchi kama zilivyo nchi zingine na akasisitiza kwamba, vikwazo vya Marekani ni kosa kubwa la kisiasa na kiuchumi na ni hatua iliyo dhidi ya kanuni na maazimio ya kimataifa.

  • Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel

    Iran, muungaji mkono halisi wa Wapalestina katika kukabiliana na Israel

    Nov 15, 2019 01:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko mstari wa mbele katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika kuwatetea watu wa Palestina.

  • Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu

    Rais Rouhani: Palestina na Quds ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu

    Nov 14, 2019 10:41

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kuwa Palestina na Quds tukufu ndiyo maudhui kuu ya Umma wa Kiislamu na kuongeza kuwa: Ulimwengu wa Kiislamu hautawaruhusu maadui kuwafanya walimwengu wasahau kadhia ya Palestina na Quds tukufu.

  • Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)

    Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Maulidi ya Mtume (saw)

    Nov 14, 2019 14:48

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za baraka na fanaka viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia Maulidi na siku ya kuzaliwa Mtume wa rehma, amani na upendo, Muhammad (saw).

  • Rouhani: Taifa la Iran limevunja njama za Marekani kwa mapambano

    Rouhani: Taifa la Iran limevunja njama za Marekani kwa mapambano

    Nov 13, 2019 11:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama za Marekani za kutoa pigo kwa taifa la Iran na kusema: "Mapambano (muqawama) ya wananchi wa Iran yamevunja njama za Marekani."

  • Rouhani: Iran ina uwezo wa kuunda vifaa vya vituo vya kuzalisha umeme

    Rouhani: Iran ina uwezo wa kuunda vifaa vya vituo vya kuzalisha umeme

    Nov 12, 2019 05:17

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mafanikio makubwa ya kisayansi nchini Iran na kusema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa ina uwezo mkubwa katika kuunda vifaa na mashine zinazotumika katika vituo vya kuzalisha umeme."

  • Rais Rouhani: Uwezo wa kinyuklia wa Iran upo katika hali bora kabisa

    Rais Rouhani: Uwezo wa kinyuklia wa Iran upo katika hali bora kabisa

    Nov 11, 2019 13:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria ustawi na maendeleo ya taifa hili katika uga wa teknolojia ya nyukllia na kusema kuwa, hii leo Iran ipo katika hali na mazingira bora kabisa kuliko wakati wowote ule katika uga wa uwezo wa teknolojia ya nyuklia.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamesimama kidete pamoja mbele ya mashinikizo ya ajinabi

    Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamesimama kidete pamoja mbele ya mashinikizo ya ajinabi

    Nov 10, 2019 13:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema kuwa, hii leo wananchi wa Iran wamejiandaa kuliko wakati wowote ule kwa ajili ya kujitolea na kutetea nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS