Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran

    Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran

    Nov 06, 2019 07:55

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Khaled al-Jarallah amesema nchi yake imezifikishia Saudi Arabia na Bahrain ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kutaka amani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Rais Rouhani: Iran kuchukua hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake kwenye JCPOA

    Rais Rouhani: Iran kuchukua hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake kwenye JCPOA

    Nov 05, 2019 08:07

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaanza kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake kwenya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuanzia kesho.

  • Rais Rouhani: Kupenda vita Marekani kumechochea moto wa ugaidi

    Rais Rouhani: Kupenda vita Marekani kumechochea moto wa ugaidi

    Oct 25, 2019 14:29

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akihutubia mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, amesema kuwa siasa za upande mmoja za Marekani ndio sababu kuu ya kuibuka ugaidi katika maeneo tofauti ya dunia.

  • Rouhani: Juhudi za Marekani za kutaka Iran itengwe zimefeli

    Rouhani: Juhudi za Marekani za kutaka Iran itengwe zimefeli

    Oct 24, 2019 16:36

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Marekani imefeli katika jitihada zake za kutaka kutoa pigo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na kuifanya itengwe katika uga wa kimataifa.

  • Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA

    Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA

    Oct 24, 2019 02:49

    Rais Hassan Rouhani amewashangaa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaodhani kuwa, kwa kuhujumu na kukiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu hapa nchini.

  • Rouhani alishukuru taifa na serikali ya Iraq kwa kufanikisha Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Rouhani alishukuru taifa na serikali ya Iraq kwa kufanikisha Arubaini ya Imam Hussein (as)

    Oct 20, 2019 12:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Rais wa Waziri Mkuu wa Iraq akiwashukuru na kuwapongeza wananchi, maafisa, na maulama hususan marjaa na viongozi wa juu wa kidini kwa kudhamini usalama kamili na kuwakirimu Waislamu walioshiriki katika Arubaini ya Imam Husein (as).

  • Rais Rouhani: Iran imeendelea katika teknolojia na taaluma mbalimbali

    Rais Rouhani: Iran imeendelea katika teknolojia na taaluma mbalimbali

    Oct 16, 2019 12:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kubainisha kwamba nchi hii imeendelea katika elimu na taaluma tofauti amesema kuwa, licha ya matatizo ambayo yameikabili Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita vikiwemo vita vya kulazimishwa na mashanikizo ya kiuchumi, lakini vyuo vikuu vimetekeleza vizuri majukumu yao.

  • Tehran ni mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Eneo la Mediterania Mashariki

    Tehran ni mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Eneo la Mediterania Mashariki

    Oct 16, 2019 07:23

    Hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA ni fedheha kwa Marekani na fedheha kubwa zaidi kwa nchi hiyo ni kuwawekea watu wa Iran vikwazo vya dawa na chakula.

  • Rouhani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ugaidi wa kiuchumi

    Rouhani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ugaidi wa kiuchumi

    Oct 15, 2019 13:10

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA ni fedheha kwa Marekani na kuongeza kuwa: "Fedheha kubwa zaidi kwa Marekani ni kuwawekea watu wa Iran vikwazo vya dawa na chakula."

  • Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli

    Rais Rouhani: Njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli

    Oct 09, 2019 13:57

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njama za Marekani za mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa la Iran zimefeli na kwamba takwimu zote na moyo na utanashati wa taifa la Iran vinaonesha kuwa, kipindi cha mashinikizo ya kiwango cha juu kimeyoyoma.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS