Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rouhani: Mdahalo wa Urais umefichua matatizo yanayoikabili Marekani

    Rouhani: Mdahalo wa Urais umefichua matatizo yanayoikabili Marekani

    Sep 30, 2020 12:51

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mdahalo wa kwanza wa wagombea wawili wa urais katika uchaguzi utakaofanyika Novemba mwaka huu nchini Marekani, Donald Trump wa chama cha Rebulican na Joe Biden wa Democratic umefichua kina cha matatizo na changamoto zinazoikabili serikali ya Washington.

  • Rais Rouhani: Uwepo wa majeshi ya Marekani Asia Magharibi ni pigo kwa usalama na uthabiti wa eneo

    Rais Rouhani: Uwepo wa majeshi ya Marekani Asia Magharibi ni pigo kwa usalama na uthabiti wa eneo

    Sep 27, 2020 04:42

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa majeshi ya Marekani nchini Iraq, Afghanistan na katika mataifa ya kusini mwa Ghuba ya Uajemi ni pigo kwa amani na uthabiti wa eneo.

  • Rouhani: White House ni mhusika wa jinai zote dhidi ya taifa la Iran

    Rouhani: White House ni mhusika wa jinai zote dhidi ya taifa la Iran

    Sep 26, 2020 12:19

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ikulu ya White House ya Marekani ndilo chimbuko la jinai zote dhidi ya binadamu, mashinikizo na vikwazo visivyo vya kiutu dhidi ya wananchi wa Iran.

  • Rouhani: tuhuma na mahesabu ghalati ya Saddam zinakaririwa leo na Marekani

    Rouhani: tuhuma na mahesabu ghalati ya Saddam zinakaririwa leo na Marekani

    Sep 23, 2020 13:26

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya Iran na kusema: tuhuma na mahesabu ghalati ya viongozi wa White House yanafanana na hatua zilizochukuliwa na utawala wa Saddam na kupelekea kuangamizwa utawala huo.

  • Rais Rouhani: Sasa ni wakati wa walimwengu kusema

    Rais Rouhani: Sasa ni wakati wa walimwengu kusema "hapana" kwa ubabe na utumiaji mabavu

    Sep 23, 2020 04:04

    Rais Hassan Rouhani amesema: "Marekani haiwezi kutulazimisha kufanya mazungumzo wala kuanzisha vita dhidi yetu" na akasisitiza kwamba, sasa ni wakati wa walimwengu kusema "la" kwa ubabe na utumiaji mabavu.

  • Rais Rouhani: Mafanikio ya miaka 40 ya muqawama ni matokeo ya kusimama kidete taifa la Iran

    Rais Rouhani: Mafanikio ya miaka 40 ya muqawama ni matokeo ya kusimama kidete taifa la Iran

    Sep 22, 2020 07:58

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matunda ya miaka 40 ya muqawama na kusimama imara kuwa yametokana na maono wa mbali wa taifa la Iran mkabala na maadui.

  • Rouhani: Kutengwa zaidi, matunda ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran

    Rouhani: Kutengwa zaidi, matunda ya mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran

    Sep 21, 2020 03:17

    Rais Hassan Rouhani ameashiria kuhusu kugonga mwamba njama za Marekani dhidi ya taifa la Iran na kueleza bayana kuwa: Hatua za Washington mkabala wa Iran hazijakuwa na matokeo mengine isipokuwa kuifanya nchi hiyo itengwe zaidi katika uga wa kimataifa.

  • Rais Rouhani: Marekani imefeli katika jitihada zake za kutaka kutumia 'Utaratibu wa kifyatuo'

    Rais Rouhani: Marekani imefeli katika jitihada zake za kutaka kutumia 'Utaratibu wa kifyatuo'

    Sep 16, 2020 11:19

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani imefeli na kushindwa katika juhudi zake za kutaka kutumia utaratibu wa kusuluhisha mzozano katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, unaojulikana kama 'Utaratibu wa Kifyatuo' kwa kimombo "Trigger Mechanism".

  • Rais Rouhani: Marekani imeshindwa vibaya katika njama zake dhidi ya Iran

    Rais Rouhani: Marekani imeshindwa vibaya katika njama zake dhidi ya Iran

    Sep 13, 2020 12:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua haribifu za Marekani dhidi ya uchumi wa Iran na kusema kuwa, adui siyo tu kwamba, ameshindwa kufikia malengo yake ya kistratejia, bali amepata pigo lisilo na kifani katika uwanja huo.

  • Rouhani: White House haifahamu chochote kuhusu ubinadamu

    Rouhani: White House haifahamu chochote kuhusu ubinadamu

    Sep 12, 2020 11:33

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Ikulu ya White House ya Marekani haina ufahamu wowote kuhusu utu na ubinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS