Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rouhani

  • Rais Rouhani: Waislamu wasimame kidete kutetea na kulinda thamani za Uislamu

    Rais Rouhani: Waislamu wasimame kidete kutetea na kulinda thamani za Uislamu

    Sep 11, 2020 04:46

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani kitendo cha jarida la Charlie Hebdo la Ufaransa cha kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW, ameyataka mataifa ya Kiislamu kusimama kidete kutetea na kulinda thamani, utamaduni na matukufu ya dini yao.

  • Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kuimarisha ushirikiano wa pande mbili, kimataifa

    Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kuimarisha ushirikiano wa pande mbili, kimataifa

    Sep 09, 2020 02:34

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametoa taarifa mwishoni mwa kikao cha sita cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili wakisisitiza udharura wa kupanuliwa na kuimarishwa ushirikiano wa pande mbili, kikanda na kimataifa katika fremu ya kudhamini maslahi ya pamoja ya Tehran na Ankara.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Iran kamwe hawatoipigia magoti Marekani

    Rais Rouhani: Wananchi wa Iran kamwe hawatoipigia magoti Marekani

    Sep 08, 2020 02:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia mashinikizo ya kidhalimu ya Marekani dhidi ya Tehran na kusema kuwa, wananchi wa Iran kamwe hawatosalimu amri mbele ya uistikbari wa dola hilo la kibeberu.

  • "Vipigo dhidi ya Marekani katika Baraza la Usalama vimetokana na kusimama kidete Wairani"

    Sep 04, 2020 02:42

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushindwa mtawalia njama za Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumetokana na kusimama kidete taifa hili.

  • Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana

    Rais Rouhani: Mitazamo ya Iran na Niger katika masuala ya kimataifa inafanana

    Sep 01, 2020 07:48

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Niger kuwa nchi mbili hizi zimekuwa na ushirikiano amilifu na mitazamo inayofanana katika masuala na taasisi za kimataifa na kubainisha kuwa, nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika bila shaka itakabiliana na uchukuaji wa maamuzi ya upande mmoja wa Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Rais Rouhani: Kuimarisha uhusiano wa kiistratijia na majirani zetu, ndicho kipaumbele kwa Iran

    Rais Rouhani: Kuimarisha uhusiano wa kiistratijia na majirani zetu, ndicho kipaumbele kwa Iran

    Sep 01, 2020 03:00

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kiistratijia na majirani zetu hasa katika masuala ya kibiashara na kiuchumi ni katika vipaumbele vya Tehran.

  • Rouhani: Taifa la Iran limetegemea utamaduni wa Ashura katika ushindi wake mkabala wa njama za adui

    Rouhani: Taifa la Iran limetegemea utamaduni wa Ashura katika ushindi wake mkabala wa njama za adui

    Aug 26, 2020 13:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia siku hizi za maombolezo na kukumbuka mauaji ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW na kusema: "Taifa la Iran limepata ushindi kwa kusimama kidete na kupambana na njama za madola makubwa, na ushindi huo umetokana na kufuata utamaduni wa Ashura."

  • Rais Rouhani: Trump amefanya jinai na uovu mkubwa zaidi kwa taifa la Iran

    Rais Rouhani: Trump amefanya jinai na uovu mkubwa zaidi kwa taifa la Iran

    Aug 17, 2020 06:08

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali ya Marekani inatumia mabavu na kukiuka sheria za kimataifa na kuongeza kuwa: Rais wa sasa wa Marekani amefanya uovu na jinai mbaya zaidi dhidi ya taifa la Iran.

  • Onyo la Rouhani kuhusu JCPOA; Ulaya isitumbukie kwenye mtego wa Marekani

    Onyo la Rouhani kuhusu JCPOA; Ulaya isitumbukie kwenye mtego wa Marekani

    Aug 13, 2020 09:24

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lilopendekezwa na Marekani katika Barazala Usalama la Umoja wa Mataifa linakiuka moja kwa moja azimio nambari 2231 la baraza hilo na hivyo kuzitaka nchi zote na hasa zilizotia saini mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, zilipinge.

  • Rais Rouhani amwambia Macron: Ulaya isikubali kuburutwa na Marekani

    Rais Rouhani amwambia Macron: Ulaya isikubali kuburutwa na Marekani

    Aug 13, 2020 03:32

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa ufaransa akisema kuwa Marekani daima imekuwa ikifanya jitihada za kuua mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa: Ulaya haipasi kukubali kuburutwa na Marekani na kutumbukia katika mtego wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS