-
Rouhani: Uwezo wa kijeshi wa Iran ni kwa maslahi ya eneo lote
Aug 12, 2020 10:46Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inatumia silaha na zana zake kwa ajili ya kulinda nchi mbele ya wavamizi ajinabi na kuongeza kuwa: "Uwezo wa kujihami na kisilaha wa Iran ni kwa maslahi ya eneo lote."
-
Rais Rouhani: Iran inaongoza kwa demokrasia kieneo
Aug 05, 2020 10:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uchaguzi huru wa rais, bunge na asasi zingine za utawala katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaofanyika moja kwa moja na kwa njia isiyo ya moja kwa moja na kusema: "Iran inaongoza kwa demokrasia katika eneo."
-
Rouhani: Kupotoshwa mafanikio; mhimili mkuu wa vita vya kisaikolojia vya maadui dhidi ya Iran
Aug 04, 2020 11:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kudhihirisha kutowajibika serikali na kupotosha uwezo na mafanikio makubwa ya nchi ni mhimili mkuu wa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na maadui dhidi ya taifa la Iran.
-
Rais Rouhani: Iran imefanikiwa kuzima njama za maadui wake
Aug 02, 2020 11:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha fursa na changamoto za kiuchumi zinazoikabili nchi hiyi na kusema kuwa: Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita Iran imepata mafanikio makubwa katika kuzima na kufubaza njama za maadui.
-
Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikuu ya Idul Adh'ha
Jul 31, 2020 02:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono na kheri na fanaka na kuwapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikukuu hii kubwa ya Idul Adh'ha.
-
Rouhani: Adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa nje ya nchi
Jul 29, 2020 07:45Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema adui hajaweza kuizuia Iran kuuza bidhaa zake nje ya nchi.
-
Rais Rouhani: Kuondolewa vikwazo haramu vya Marekai si sharti, ni uhakika
Jul 28, 2020 04:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea ugaidi wa kiuchumi na wa zana za tiba wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona na kusema kuwa, kuondolewa vikwazo haramu vya Marekani si sharti la mazungumzo na Iran bali ni uhakika na muktadha wa hali halisi ya mambo.
-
Rais Rouhani: Marekani haina ubavu wa kulipigisha magoti taifa imara la Iran
Jul 25, 2020 11:28Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani pamoja na majigambo yake haina ubavu wa kulipigisha magoti taifa la Iran na kulifanya lifuate matakwa yake.
-
Rais Rouhani asisitiza kupanuliwa ushirikiano wa Iran na majirani pamoja na nchi rafiki
Jul 22, 2020 12:04Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya iran amesisitiza juu ya azma ya taifa hili ya kupanua uhusiano na ushirikiano wake na majirani zake wote pamoja na nchi rafiki.
-
Rais Rouhani: Iran inatengeneza aina tano za dawa za kutibu virusi vya corona
Jul 18, 2020 13:20Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kumefanyika kazi nzuri na muhimu sana hapa nchini kwa ajili ya kutengeneza dawa zenye taathira kubwa katika kutibu virusi vya corona na moja ya dawa hizo itaanza kutumiwa hapa nchini wiki kadhaa zijazo.