-
Ushirikiano wa Russia na Iran ni kwa manufaa ya amani na usalama wa dunia
Jul 17, 2020 10:38Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia sambamba na kutangaza kuunga mkono suala la kulindwa na kudumishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na udharura wa kukabiliana na siasa za Marekani za uchukuaji maamuzi ya upande mmoja wamesisitiza juu ya kustawishwa zaidi uhusiano wa Tehran na Moscow.
-
Rais Rouhani: Iran katu haitasalimu amri kwa mashinikizo ya madola makubwa hasa Marekani
Jul 15, 2020 12:58Rais Hassan Rouhani amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu katu haitasalimu amri kwa mashinikizo ya madola makubwa na hasa Marekani na akaongeza kwamba: Marekani ijue kwamba, kamwe haitafikia malengo yake licha ya hatua zake haribifu inazochukua dhidi ya maslahi ya taifa la Iran.
-
Rouhani: Kuendesha nchi bila kutegemea pato la mafuta ni kielelezo cha nguvu ya Iran katika vita vya kiuchumi
Jul 14, 2020 10:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuendesha nchi hii bila ya kutegemea sana pato la mauzo ya mafuta ni kielelezo cha nguvu kubwa ya Iran katika medani ya vita vya kiuchumi.
-
Rais Rouhani: Iran itaibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani
Jul 14, 2020 03:19Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano na mshikamano uliopo miongoni mwa mihimili mitatu ya dola, bila shaka utaipelekea Iran kuibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Rouhani: Umoja na kujituma, ufunguo wa kusimama kidete dhidi ya maadui
Jul 09, 2020 15:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja na jitihada ni mambo mawili ambayo yamefanikisha muqawama wa taifa hili dhidi ya maadui.
-
Rouhani: Iran ina uhusiano mzuri na nchi jirani
Jul 08, 2020 16:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ina uhusiano mzuri na nchi jirani.
-
Rais Rouhani: Njama za maadui za kusambaratisha uchumi wa Iran zitagonga mwamba
Jul 05, 2020 14:26Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema katu maadui hawatafanikiwa katika njama zao za kutaka kuvuruga uchumi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais Rouhani: Iran imefanya kazi kubwa katika kudhamini dawa na vifaa vya matibabu
Jul 04, 2020 11:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia tadibiri na mipango imara humu nchini katika kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 na kusema kuwa, Iran imefanya kazi kubwa katika kudhamini dawa na vifaa vya tiba na matibabu.
-
Mchakato wa Astana; hakikisho la kupatikana amani, utawala huru na mamlaka ya kitaifa ya Syria
Jul 02, 2020 11:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Mchakato wa Astana ungali ndio mpango pekee uliofanikiwa kusaidia kutatua mgogoro wa Syria kwa njia ya amani.
-
Rais Rouhani: Askari magaidi wa Marekani wanapaswa kuondoka magharibi mwa Asia hususan Syria
Jul 01, 2020 12:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa suala la kuheshimu mamlaka ya Syria na kujitawala nchi hiyo ni msingi mkuu ambao haupaswi kuguswa na kusisitiza kuwa, wanajeshi magaidi wa Marekani wanapaswa kuondoka eneo la magharibi mwa Asia hususan huko Syria haraka iwezekanavyo.