-
Russia yaionya Israel kufuatia kutunguliwa ndege yake katika anga ya Syria
Sep 18, 2018 09:39Kufuatia ajali ya kutunguliwa ndege ya Russia katika anga ya Syria wakati wa shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo, Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa inayo haki ya kujibu mapigo kwa Israel kutokana na tukio hilo.
-
Russia: IAEA haina ushahidi wowote wa kuitia hatiani Syria
Sep 17, 2018 23:27Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema kuwa, kutoa madai ya uongo kuhusu Syria kunauondolea itibari wakala huo wa atomiki.
-
Russia: Nchi nyingi zinafikiria kubadilishwa sarafu ya Dola ya Marekani katika biashara
Sep 17, 2018 03:17Msemaji wa Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi nyingi za Ulaya na Asia zinafikiria kubadilishwa sarafau ya Dola ya Marekani katika miamala ya kibiashara.
-
Russia yaitaka IAEA kutoa dhamana ya utekelezaji wa JCPOA
Sep 13, 2018 02:52Russia imeutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) itoe dhamani ya utekelezaji wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Russia yataka kuitishwa kikao cha Baraza la Usalama kujadili mkutano wa pande tatu wa Tehran
Sep 11, 2018 05:12Ofisi ya mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa imetoa wito wa kufanyika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuchunguza matokeo ya mkutano wa pande tatu wa Tehran kuhusiana na Syria.
-
Russia: Magaidi, White Helmets wakutana kupanga igizo la shambulizi la kemikali Idlib
Sep 09, 2018 03:03Russia imesema magenge ya kigaidi na kundi eti la 'kutoa misaada' la White Helmets linaloungwa mkono na Wamagharibi yamekutana kaskazini magharibi mwa mkoa wa Idlib, kwa shabaha ya kuratibu igizo la hujuma ya kemikali nchini Syria ili kuielekezea kidole cha lawama serikali halali ya Rais Bashar al-Assad.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Magharibi kuhusu tukio la Salisbury
Sep 07, 2018 20:54Kuzushwa upya madai ya kupewa sumu ya kemikali, jasusi Wa zamani wa Russia, Sergei Skripal, na binti yake katika mji wa Salisbury, wa kusini mwa Uingereza mwezi Machi 2018, kumezua mzozo na mivutano mikubwa baina ya nchi za Magharibi na Russia.
-
Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda
Sep 07, 2018 02:50Leo Ijumaa Tehran ni mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi tatu muhimu katika mchakato wa kurejesha amani nchini Syria, yaani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.
-
Dakta Larijani: Iran na Russia zina nafasi kubwa katika vita dhidi ya ugaidi Mashariki ya Kati
Sep 06, 2018 09:58Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Russia zimekuwa na nafasi muhimu mno katika uga wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kuuawa kiongozi wa upinzani wa eneo lenye mamlaka ya ndani la Donetsk, Ukraine na athari zake
Sep 02, 2018 05:53Kufuatia kuuawa Alexander Zakharchenko, Kiongozi wa Upinzani wa eneo la Donetsk nchini Ukrain, Rais Vladmir Putin wa Russia ametaka kuchukuliwa hatua kali wahusika wa jinai hiyo.