-
Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin
Dec 28, 2022 22:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa matamshi ya maafisa wa Marekani katika Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo Pentagon, kuhusu pigo la kukata kichwa cha Kremlin kwa hakika ni tishio la kutaka kumuua kigaidi Rais wa Russia.
-
Medvedev atabiri kugawanyika Marekani, Ulaya; Elon Musk kuwa rais wa Marekani mwaka 2023
Dec 28, 2022 00:54Dmitry Medvedev, Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia, amewasilisha utabiri wake wa mwaka mpya wa 2023 unaojumuisha hatima mbaya kwa Merekani na Umoja wa Ulaya, ambazo zimekuwa kwenye mzozo mkali na Russia tangu kuanza kwa vita nchini Ukraine tarehe 14 Februari mwaka huu.
-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 27, 2022 22:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Moscow yatoa onyo baada ya Washington kutishia kumuua Rais wa Russia
Dec 27, 2022 03:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametoa indhari baada ya maafisa 'wasiojulikana' wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) kutoa vitisho vya kumuua Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo.
-
Russia yapeleka manowari 3 za kubebea makombora Bahari Nyeusi
Dec 25, 2022 06:59Russia imepeleka manowari tatu za kubebea makombora katika Bahari Nyeusi na kuziweka meli hizo za kivita katika hali ya tahadhari.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.
-
Russia: Jinai za kivita za Marekani na Nato Afghanistan zimepuuzwa
Dec 21, 2022 03:54Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema katika kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuwa jinai za kivita za Marekani na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (Nato) huko Afghanistan zimepuuzwa.
-
Russia yatungua makombora ya Marekani ya HARM
Dec 20, 2022 03:53Russia imesema vikosi vyake vya ulinzi wa anga vimefanikiwa kutungua makombora manne yaliyotengenezwa na Marekani ya HARM, katika anga ya eneo la Belgorod.
-
Iran: Madai ya Marekani kuhusu kushiriki kwetu vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Dec 18, 2022 23:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijasusi la Marekani kuhusu ushirikiano wa Iran na Russia na tuhuma zake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kuhusiana na vita vya Ukraine hayana msingi wowote, bali ni muendelezo tu wa vita vya kipropaganda vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Ghana yaituhumu Burkina Faso kwa kuwaajiri mamluki wa Russia wa "Wagner"
Dec 16, 2022 23:33Rais Nana Akufo-Addo wa Ghana amesema kuwa nchi jirani yake Burkina Faso imeandaa mpango na kundi la wanamgambo wa Russia la "Wagner" ili kuwatumia wanamgambo wa kundi hilo.