Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot

    Onyo la Russia kwa NATO kuhusu kuipa Ukraine mfumo wa makombora wa Patriot

    Dec 15, 2022 05:45

    Serikali ya Russia imetangaza kuwa, uamuzi wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO wa kuipa Ukraine mfumo wa kujilinda kwa makombora wa Patriot umechukuliwa kwa lengo la kuishambulia Russia na hiyo ina maana ya kuihalalishia Moscow kuzishambulia nchi wanachama wa NATO.

  • Kuwa tayari Moscow na Beijing kukabiliana na mashinikizo ya makubwa ya Magharibi

    Kuwa tayari Moscow na Beijing kukabiliana na mashinikizo ya makubwa ya Magharibi

    Dec 06, 2022 04:07

    Waziri Mkuu wa Russia ametangaza kuwa, Moscow na Beijing zinataka kuasisi ngao ya kambi kadhaa na kujiandaa pamoja kukabiliana na changamoto mpya na mashinikizo makubwa ya nchi ajinabi.

  • Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Dec 04, 2022 06:09

    Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.

  • Russia: UN inapuuza ukatili dhidi ya wanawake wa Ukraine nchini Sweden

    Russia: UN inapuuza ukatili dhidi ya wanawake wa Ukraine nchini Sweden

    Dec 04, 2022 03:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema Umoja wa Mataifa na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanafumbia macho dhulma, unyanyasaji na ukatili dhidi ya wanawake wakimbizi wa Ukraine walioko Sweden.

  • Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake

    Baqeri: Marekani imeshindwa kuifanya dunia ifuate amri zake

    Dec 04, 2022 00:13

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema Wamarekani wanatambua wazi kuwa wamefeli katika juhudi zao za kuunda dunia yenye kufuata sera, amri na mienendo ya Washington.

  • Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya

    Ukosoaji wa Moscow kwa msimamo mpya wa Umoja wa Ulaya na Ujerumani kuhusu mfumo mpya wa usalama wa Ulaya

    Dec 03, 2022 23:09

    Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amekosoa matamshi ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na Annalena Baerbock Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani kuhusu ulazima wa kuanzishwa mfumo mpya wa usalama wa Ulaya dhidi ya Moscow.

  • Ombi la Ulaya kwa China, mshaurini Putin asitishe vita Ukraine

    Ombi la Ulaya kwa China, mshaurini Putin asitishe vita Ukraine

    Dec 02, 2022 22:53

    Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu, Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO waweka kando suala la kujiunga Ukraine na jumuiya hiyo

    Dec 01, 2022 07:39

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Slovenia Jumanne wiki hii alisema kwamba kujiunga Ukraine na muungano wa NATO si kadhia inayojadili kwa sasa na nchi wanachama wa muungano huo wa kijeshi. Tanja Fajon ameyasema hayo katika kikao cha Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi wanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO)

  • Moscow yajibu mpango wa CIA wa kuwasajili raia wa Russia

    Moscow yajibu mpango wa CIA wa kuwasajili raia wa Russia

    Nov 24, 2022 06:43

    Ubalozi wa Russia mjini Washington umesema azma ya Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) ya kutaka kuwasajili raia wa Russia katika taasisi hiyo ni ithibati nyingine inayoonesha kuwa Marekani inafanya juu chini ili kuidhalilisha nchi hiyo. Hata hivyo ubalozi huo umesisitiza kuwa njama hizo za Washington hazitafua dafu.

  • Mashindano ya Kimataifa ya Qurani yamalizika Moscow, Russia

    Mashindano ya Kimataifa ya Qurani yamalizika Moscow, Russia

    Nov 21, 2022 07:45

    Duru ya 20 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qurani Tukufu iliyoanza Ijumaa iliyopita katika mji mkuu wa Russia, Moscow imemalizika huku washindi wakitangazwa na kutuzwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS