-
Kuongezeka kwa mzozo kati ya Russia na Magharibi juu ya Ukraine na upanuzi wa NATO kuelekea Mashariki
Dec 04, 2021 11:06Katika wiki za hivi karibuni, makabiliano kati ya Russia na Magharibi kuhusu Ukraine yamechukua sura mpya, huku pande mbili zikitoa maonyo ya mara kwa mara kuhusu hatua zozote za kijeshi.
-
Russia yasisitiza kuizuia Nato ili isipanue uwepo wake mashariki mwa Ulaya
Dec 03, 2021 23:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kwamba kuna haja ya kuzuia Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) kupanua uwepo wake mashariki mwa bara Ulaya.
-
Maneva ya pamoja ya kijeshi kati ya Russia na Misri
Dec 02, 2021 08:37Kikosi cha wanajeshi wa meli za kivita za Russia katika bahari Nyeusi kimetangaza kuwa meli za nchi hiyo hivi karibuni zitawasili katika bandari ya Alexandria huko Misri kwa ajili ya kushiriki katika maneva ya pamoja na nchi hiyo.
-
Russia: Lebanon haipasi kufanywa mahali pa kukomoana na kulipiziana visasi nchi zingine
Nov 22, 2021 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema, ana matumaini serikali mpya ya Lebanon itaweza kuhitimisha mgogoro wa muda mrefu wa kisiasa na akataka nchi hiyo isitumiwe kuwa mahali pa nchi zingine kukomoana na kulipiziana visasi.
-
Russia yakosoa mwenendo wa kinafiki wa Marekani kuhusu masuala ya anga
Nov 18, 2021 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amezitaja tuhuma za Marekani dhidi ya Moscow kwamba inatumia silaha dhidi ya satalaiti na kusababisha vitisho angani kuwa ni za kinafiki na zisizo na ukweli wowote. Sergey Lavrov amesema kuwa: "Tunaona kwkamba, badala ya kutoa madai yasiyo na msingi wowote, ni vyema Marekani iketi kwenye meza ya mazungumzo na ieleze mitazamo yake kuhusu makubaliano yaliyopendekezwa na Russia na China kwa ajili ya kuzuia mashindano ya silaha angani
-
Iran, Russia zasisitiza mazungumzo ya JCPOA yatafanikiwa Iran ikiondolewa vikwazo
Oct 29, 2021 23:57Iran na Russia zimesisitiza kwamba mazungumzo ya pande zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015 yatafanikiwa tu iwapo yatapelekea kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran sambamba na pande zote kutekeleza mapatano hayo.
-
Russia: Hali ya maeneo yanayodhibitiwa na makundi ya waasi Syria inatia wasiwasi
Oct 28, 2021 06:52Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali inayoshuhudiwa katika maeneo yanayodhibitiwa na makundi ya waasi nchini Syria ni mbaya na inatia wasiwasi mkubwa.
-
Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan na juhudi za kurejesha uthabiti nchini humo
Oct 22, 2021 09:36Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan kilifanyika siku ya Jumatano ya tarehe 20 Oktoba kwa uwenyekiti wa Russia katika mji mkuu huo wa nchi hiyo.
-
Kuongezeka mizozo na mivutano baina ya Russia na NATO
Oct 19, 2021 09:36Sambamba na kuongezeka mIzozo na mivutano baina ya Russia na Shirika la Kijeshi la NATO, serikali ya Moscow imetangaza kuwa, itakata uhusiano wake na shirika hilo.
-
Onyo la Putin kuhusu kuhamishiwa ugaidi nchini Afghanistan
Oct 15, 2021 05:46Rais Vladimir Putin wa Russia amesema magaidi wanahamishwa kutoka Iraq na Syria na kupelekwa Afghanistan jambo ambalo amesisitiza kuwa linahatarisha usalama wa nchi za Umoja wa Sovieti ya zamani.