-
Rais wa Russia: China haihitaji kutumia nguvu za kijeshi ili kuungana tena na Taiwan
Oct 14, 2021 09:28Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, chaguo la kijeshi halihitajiki kuwa mbadala wa njia ya amani ili kuiwezesha China kuungana na Taiwan.
-
Ombi la Taliban kwa Russia kwa ajili ya kushiriki katika ujenzi mpya wa Afghanistan
Oct 14, 2021 05:21Kundi la wanamgambo wa Taliban linaloongoza huko Afghanistan limetangaza kuwa linafanya mashauriano na Russia ili kupanua ushirikianao na kusaidiwa katika kuijenga upya nchi hiyo.
-
Putin: Umaskini ni adui mkuu wa Russia
Oct 13, 2021 22:51Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa kiwango cha chini ya mapato ya aghalabu ya wananchi wa Russia ndio adui mkuu wa nchi hiyo na kueleza kuwa adui mkubwa zaidi wa Warussia ni mapatano ya kiwango cha chini ya mamilioni ya raia wa nchi hiyo.
-
Lavrov: Wanachama wa NATO waongoze ujenzi mpya wa Afghanistan
Oct 09, 2021 04:26Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa nchi wanachama katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Maghribi (NATO) zinapaswa kubeba jukumu kuu la kuijenga upya Afghanistan.
-
Russia and China: Shughuli za kibaolojia za Marekani zimeuweka hatarini usalama wa dunia
Oct 08, 2021 23:58Russia na China zimetoa taarifa ya pamoja zikikosoa shughuli za vituo vya kibaolojia vya Marekani na kusema vinauweka hatarini usalama wa dunia.
-
Russia: Matatizo ya bara la Afrika inapasa yatatuliwe na viongozi wa nchi za Afrika
Oct 07, 2021 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema, matatizo ya baraza la Afrika inapasa yatatuliwe na viongozi wa nchi za Afrika na akaongeza kwamba Russia inaweza kuandaa mazingira ya kuwekwa askari wa kulinda amani barani humo.
-
Russia: OPCW imekuwa fimbo ya kisiasa ya Wamagharibi dhidi ya nchi nyingine
Oct 05, 2021 23:35Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuzuia Matumizi ya Silaha za Kemikali (OPCW) linaelekea kuwa wenzo wa kisiasa unaotumiwa na nchi za Magharibi kwa ajili ya kuzinyanyasa nchi nyingine.
-
Lavrov: Kuna tishio la kigaidi huko Idlib, Syria
Oct 04, 2021 22:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuna tishio la kigaidi katika mkoa wa Idlib kaskazini mwa Syria na kwamba tishio hilo linaongezeka pia katika baadhi ya maeneo nchini humo.
-
Russia: Marekan inawahamishia Afghanistan magaidi wa Daesh
Oct 03, 2021 01:09Naibu Kamanda wa Wilaya ya Kati ya Jeshi la Russia amesema kuwa jeshi la Marekani linawahamisha magaidi walioko Syria na kuwapeleka Afghanistan.
-
Baada ya kuzozana na Ufaransa, Mali yaamua kununua silaha kutoka Russia
Oct 02, 2021 09:53Wakuu wa kijeshi nchini Mali wametangaza habari ya kuwasili nchini humo silaha kutoka Russia. Hatua hiyo imekuja baada ya kushadidi mzozo baina ya Mali na mkoloni kizee wa Ulaya, yaani Ufaransa.