-
Putin asisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja kati ya Russia na China
Oct 01, 2021 09:46Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China.
-
Marekani yatoa onyo kwa Uturuki dhidi ya kununua tena silaha kutoka Russia
Sep 27, 2021 22:55Marekani imesema kuna uwezekano wa kuiwekea Uturuki vikwazo vipya kwa sababu ya ununuzi wa mtambo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia.
-
Taliban yasisitiza nia yake ya kustawisha uhusiano na Iran na Russia
Sep 25, 2021 03:50Msemaji wa kundi la Taliban ametaka kustawishwa uhusiano wa pande mbili kati ya kundi hilo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.
-
Baada ya kuongezeka mzozo, wakuu wa majeshi ya Marekani na Russia wakutana Finland
Sep 23, 2021 01:07Baada ya kupamba moto mzozo katika uhusiano wa Marekani na Russia na kuingia kwenye hatua hatari na kufikia hadi viongozi wa Washington kusema kuwa Russia ni adui mkubwa wa Marekani kuliko China, juhudi za kupunguza mivutano hiyo zimeanza kuchukuliwa kupitia kukutanishwa wakuu wa majeshi ya nchi hizo mbili katika mji mkuu wa Finland, Halsinki.
-
Makumi wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi uliotokea kwenye chuo kikuu, Russia
Sep 20, 2021 06:18Watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine wasiopungua 19 wamejeruhiwa baada ya mwanachuo aliyekuwa na silaha kufyatua risasi ndani ya jengo la chuo kikuu cha mji wa Perm ulioko umbali wa kilomita 1,800 mashariki ya mji mkuu wa Russia, Moscow.
-
Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China
Sep 19, 2021 02:46Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amedai kwamba kwa sasa Russia ni tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo na Ulaya kuliko China.
-
Mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini Russia wahujumiwa na wadukuzi
Sep 18, 2021 03:42Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulinzi wa Haki ya Kujitawala ya Baraza la Seneti la Russia ametangaza kuwa, mfumo wa kupiga kura kwa njia ya elektroniki nchini humo umehujumiwa na wadukuzi kutoka nchi za Magharibi.
-
Russia yakosa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu haki za wanawake
Sep 16, 2021 22:09Naibu mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa mjini New York amekiambia kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kwamba nchi za Magharibi zinatumia vigezo vya kindumakuwili kuhusu haki za wanawake huko Afghanistan na katika eneo la Idlib nchini Syria.
-
Gazeti la Russia: Iran imefelisha njama za Marekani katika Bodi ya Magavana ya IAEA
Sep 15, 2021 01:54Gazeti la Kommersant la Russia limeandika kuwa, Iran imefelisha njama za Marekani na waitifaki wake wa Ulaya za kutaka kutoa azimio dhidi ya Tehran katika kikao cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Zakharova: Lengo la Marekani huko Ukraine ni kuishinikiza Russia
Sep 14, 2021 10:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa lengo la mpango wa Marekani eti wa kuimarisha demokrasia nchi ya Ukraine ni kuiweka chini ya mashinikizo Russia na kuyumbisha hali ya mambo katika eneo hilo.