-
Russia: Mashambulio ya Marekani Syria ni ukiukaji wa kanuni na sheria za kimataifa
Feb 26, 2021 09:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani mashambulizi ya usiku wa kuamikia leo ya Marekani huko Syria na kuyataja kuwa ni kinyume na kanuni na sheria za kimataifa.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan nchini Russia
Feb 25, 2021 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia kwa madhumuni ya kufanya mazungumzo ya mashauriano na kubadilishana mawazo na viongozi wa Moscow kuhusu mchakato wa amani wa nchi yake na masuala ya kikanda.
-
Rais Putin: Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia
Feb 25, 2021 08:44Rais Vladimir Putin wa Russia amesema nchi yake itaendeleza vita dhidi ya ugaidi katika maeneo ya mbali kama vile Syria na kuongeza kuwa: "Ugaidi ni tishio hatari zaidi kwa dunia."
-
Admeri Khanzadi: India itajiunga na mazoezi mseto ya kijeshi ya Iran na Russia katika Bahari ya Hindi
Feb 16, 2021 22:56Kamanda wa Jeshi Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema lengo kuu la mazoezi mseto ya usalama wa baharini katika eneo la kaskazini mwa Bahari ya Hindi ni kufikia usalama jumla kieneo. Aidha ameongeza kuwa, Jeshi la Majini la India sasa litajiunga na majeshi ya majini ya Iran na Russia katika mazoezi hayo.
-
Russia yatishia kukata uhusiano na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo vipya
Feb 12, 2021 08:15Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa nchi hiyo iko tayari kukata uhusiano wake na Umoja wa Ulaya iwapo itawekewa vikwazo zaidi vinavyotishia uchumi wake kutokana na mizozo inayoendelea baina ya pande hizo mbili baada ya kufungwa jela mpinzani wa serikali ya Moscow, Alexei Navalny na ukandamiza wa maandamano yaliyoanzishwa na waungaji mkono wake.
-
Zakharova: Moscow itachapisha nyaraka za kuhusika nchi za Magharibi katika machafuko ya Russia
Feb 11, 2021 23:11Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa, nchi hiyo ina azma ya kuzitumia jumuiya za kimataifa nyaraka na ushahidi wa kuhusika nchi za Magharibi katika machafuko na maandamano haramu katika miji mbalimbali ya nchi.
-
Qalibaf: Iran na Russia zinatafakari kuhusu ushirikiano wa miaka 20 na 50 ijayo
Feb 10, 2021 09:43Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema Iran na Russia zinatafakari kuhusu ushirikiano wa kipindi cha miaka 20 na 50 ijayo.
-
Ulyanov: Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yarejee katika hali ya kabla ya serikali ya Trump
Feb 10, 2021 03:14Mwakilishi wa Russia katika jumuiya za kimataifa mjini Vienna amesema kuwa, ili kuweza kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kuna ulazima wa serikali ya Marekani kurejea katika hali iliyokuwepo kabla ya serikali iliyoondoka madarakani ya Donald Trump bila ya masharti yoyote na kisha pande mbili za Marekani na Iran zitekeleze majukumu yao kwa mujibu wa makubaliano hayo na kufutwa vikwazo vyote vilivyowekwa dhidi ya Iran.
-
Shehena ya kwanza ya chanjo ya Covid-19 ya Russia yawasili Iran
Feb 04, 2021 10:45Shehena ya kwanza ya chanjo ya kukabiliana na virusi vya corona ya Sputnik V ya Russia imewasili hapa nchini Iran leo Alkhamisi.
-
Zarif: Iran iko tayari kushirikiana na Russia kuhusu maeneo ya Caucasia na Ghuba ya Uajemi
Jan 27, 2021 00:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa Iran na Russia ni kwa ajili ya amani na uthabiti katika eneo. Ameongeza kuwa: "Tuko tayari kushirkiana na Russia katika masuala ya Caucasia na Ghuba ya Uajemi."