-
Russia kuwasilisha kimataifa malalamiko ya uingiliaji wa Marekani katika masuala yake ya ndani
Jan 26, 2021 08:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa hivi karibuni Moscow itawasilisha rasmi malalamiko yake kuhusu usambazwaji wa habari bandia na za ugaidi unaofanywa na mitandao ya intaneti ya Marekani.
-
Kremlin yakosoa uingiliaji kati wa Marekani katika maandamano huko Russia
Jan 24, 2021 23:33Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ameyataja matasmhi ya uingiliaji kati ya Marekani kuhusu maandamano yaliyo kinyum cha sheria huko Russia kuwa ni uingiliaji wa masuala ya ndani ya Moscow.
-
Russia yapuuzilia mbali bwabwaja mpya za Marekani dhidi ya Iran
Jan 13, 2021 23:09Russia imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Marekani ya kujaribu kulifungamanisha kundi la kigaidi la al-Qaeda na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pasi na kutoa ushahidi wowote.
-
Russia yajibu madai ya Pompeo dhidi ya Iran, yasema Iran ni muathirika wa silaha za kemikali
Jan 12, 2021 01:44Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov amekanusha madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo kuwa eti Iran imetumia silaha za kemikali na kusema kuwa, Iran yenyewe ni muathiriak wa silaha hizo.
-
Algeria, nchi ya kwanza Afrika kupasisha chanjo ya corona ya Russia
Jan 11, 2021 04:30Algeria imekuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupasisha chanjo ya COVID-19 iliyotengenezwa nchini Russia.
-
Russia: waungaji mkono wa Gaddafi wanapasa kushiriki mazungumzo ya Libya
Jan 04, 2021 22:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kuwa waungaji mkono wa dikteta wa zamani wa Libya wanapasa kushirikishwa katika mazungumzo ya amani ya nchi hiyo.
-
Lavrov: Wamagharibi ndio wanaovuruga utulivu Asia na Afrika Kaskazini
Dec 30, 2020 21:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kwamba nchi yake inaendelea kuisaidia kila upande Libya na kusisitiza kuwa, uvamizi na sisa za kibeberu za nchi za Magharibi ndizo zinazovuruga usalama wa Asia Magharibi na Afrika Kaskazini.
-
Russia: Ushirikiano wetu na Iran katika masuala ya nishati ni muhimu
Dec 24, 2020 00:01Mkuu wa Kituo cha Usalama wa Nishati cha Russia amegusia safari ya Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Moscow na kusema kwamba, kustawishwa ushirikiano wa pande hizi mbili katika sekta za mafuta, gesi na vinu mbalimbali ni jambo muhimu sana. Amesema, mustakbali wa ushirikiano huo ni mzuri na uko wazi.
-
Marais wa Russia na Ufaransa wataka kulindwa mapatano ya JCPOA
Dec 23, 2020 08:55Marais Vladimir Putin wa Russia na Emmanuel Macron wa Ufaransa wametoa mwito wa kuweko jitihada za pamoja za kuyalinda mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zanganeh: Iran inafanya juhudi za kuuza mafuta katika soko la kimataifa
Dec 22, 2020 04:04Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran inafanya jitihada za kuuza mafuta katika soko lal kimataifa licha ya kuendelea vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya nchi hii.