-
Balozi wa Russia UN: Tuzuie kukaririwa vita vikuu vya dunia
Dec 03, 2020 01:12Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa Vasily Alekseevich Nebenzya ametoa wito kwa jumuiya za kimataifa na nchi za dunia kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa tena vita vikuu vya dunia ambavyo viliandamana na mauaji ya mamilioni ya watu.
-
Zakharova: Safari ya Pompeo katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu huko Syria ni upuuzaji wa sheria za kimataifa
Nov 28, 2020 01:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia ameitaja safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu huko Syria kuwa ni ishara ya hatua za upuuzaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na Washington.
-
Kukosolewa madola ya Magharibi kwa kufanya njama za kuzusha machafuko Russia na Belarus
Nov 27, 2020 23:55Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia ameyatuhumu madola ya Magharibi mwamba, yanaingilia masuala ya ndani ya Russia na Belarus na kuyalaumu pia kwa kutekeleza vikwazo vya upande mmoja na kuwachochea wananchi wa mataifa hayo ili waanzishe vurugu na machafuko.
-
Russia yakataa kuidhinisha UN iliweke kundi la wanamgambo wa Libya katika orodha yake nyeusi
Nov 21, 2020 08:55Russia imeizuia Kamati ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuliweka katika orodha nyeusi ya umoja huo kundi moja la wanamgambo na kiongozi wa kundi hilo kwa makosa ya kukiuka haki za binadamu. Imesema kuwa inataka kwanza ipate ushahidi kwamba kundi hilo limetekeleza mauaji ya raia huko Libya.
-
Russia: Marekani inapasa kufuta vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Iran
Nov 19, 2020 04:21Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Taasisi za Kimataifa huko Vienna Austria amesema kwamba Marekani inapasa kuondoa mara moja vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wakati huohuo kuchukua hatua za kufidia makosa na ukiukaji wake dhidi ya mapatano ya kimataifa ya JCPOA na azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mambo yasiyo na uwazi katika mpango wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Karabakh
Nov 16, 2020 06:49Mambo ya kutiliwa shaka na yasiyofahamika vizuri katika mkataba wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Azerbaijan na Armenia juu ya eneo la Nagorno Karabakh, yamenyamaziwa kimya na viongozi wa Azerbaijan na Uturuki.
-
Vikosi vya kulinda amani vya Russia vyawasili katika eneo la Nagorno-Karabakh
Nov 13, 2020 04:16Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa vikosi vya kulinda amani vya nchi hiyo vimeshawasili katika eneo la Nagorno-Karabakh.
-
Russia kuanzisha kambi ya jeshi nchini Sudan, itakuwa na meli za nyuklia
Nov 12, 2020 06:44Serikali ya Russia imechapisha hati ya makubaliano yake ya Sudan yanayoiruhusu Moscow kujenga kambi ya kijeshi na misaada ya kilojestiki ya jeshi la majini la nchi hiyo nchini Sudan ambacho kitakuwa na askari na maafisa 300 wa kijeshi.
-
Kremlin yakadhibisha madai kuwa Putin anang'atuka madarakani, anasumbuliwa na ugonjwa wa Parkinson
Nov 06, 2020 23:02Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia jana Ijumaa alikadhibisha madai kuwa Rais Vladimir Putin ana nia ya kujiuzulu kutokana na hali yake mbaya ya kiafya. Dmitry Peskov amesitiza kuwa Rais Putin yuko katika hali nzuri ya kiafya.
-
Putin akosoa dini kuvunjiwa heshima kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza
Nov 06, 2020 22:59Kuongezeka vitendo vya kuvunjiwa heshima Mtume Mtukufu (saw) nchini Ufaransa na kuungwa mkono vitendo hivyo na Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kwa kisingizio cha kutetea uhuru wa kusema na kujieleza, ni jambo ambalo limeamsha hasira kubwa ya ulimwengu wa Kiislamu.