-
Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi
Nov 06, 2020 03:17Maandamano makubwa yaliyofanyika hivi karibuni nchini Belarus kufuatia uchaguzi uliomrejesha tena madarakani Rais Alexander Lukashenko, kilikuwa kisingizio kizuri kwa nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kuanza kutekeleza vikwazo na siasa za uhasama dhidi ya serikali yake.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 00:28Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
-
Russia yasisitiza udharura wa kustawisha uhusiano na Iran
Oct 22, 2020 23:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa nchi hiyo itaendeleza uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vitisho vya Marekani.
-
Russia yaitaka Marekani iache kujifanya 'polisi wa dunia'
Oct 20, 2020 04:29Russia imeikosoa vikali Marekani kwa kufuata tena mkondo ghalati wa kuzishinikiza nchi za dunia zifuate sera, matakwa na maagizo yake.
-
Sisistizo la Russia la kushirikiana kijeshi na Iran baada ya kuondolewa vikwazo vya silaha
Oct 16, 2020 23:12Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa vikwazo vya silaha vya Iran vinamalizika tarehe 18 mwezi huu wa Oktoba 2020 baada ya kumalizika muda wa miaka mitano wa vikwazo hivyo. Russia ikiwa mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama na moja kati ya nchi wanachama wa kundi la 4+1 imesisitiza kwamba itashirikiana kijeshi na Iran baada ya kumalizika vikwazo licha ya Marekani kufanya juhudi za kuongeza muda wa vikwazo hivyo.
-
Rais Touadéra wa CAR apokea shehena ya silaha nzitonzito za kijeshi kutoka Russia + SAUTI
Oct 16, 2020 12:39Rais Faustin-Archange Touadéra wa Jamhuri ya Afrika ya Kati apokea shehena ya vifaru vya kivita na silaha zingine nzitonzito za kijeshi kutoka Russia licha ya nchi yake kuwekewa vikwazo vya silaha na Umoja wa Mataifa.
-
Russia yasema Marekani ndio mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani
Oct 16, 2020 03:11Marekani ambayo ni mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani na ambayo ina rekodi nyeusi kuhusu suala hilo, daima imekuwa ikikwepa kujibu maswali ya raia wake kuhusu jambo hilo na badala yake kuzituhumu nchi nyingine ikiwemo Russia kwamba haziheshimu haki za binadamu.
-
Russia: Marekani ndio mvunjaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani
Oct 15, 2020 03:56Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi amesema Marekani ndio mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus
Oct 14, 2020 03:00Ikiwa ni muendelezo wa uingiliaji wa nchi za Magharibi wa masuala ya ndani ya mataifa mengine, sasa hivi Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kutekeleza kivitendo vikwazo dhidi ya Russia na Belarus.
-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 07:05Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.