-
Russia yabeza madai ya Trump kuhusu askari wa jeshi la kigaidi Marekani kuondoka Afghanistan
Oct 08, 2020 10:29Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema, madai ya rais wa Marekani kuhusu kuondoka askari magaidi wa nchi hiyo katika ardhi ya Afghanistan ni porojo tu la kampeni za uchaguzi.
-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 06, 2020 23:41Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutokea maafa ya nyuklia duniani
Oct 05, 2020 03:35Kuongezeka maghala ya silaha za nyuklia na mashindano ya kuboresha silaha hizo ni jambo linalohatarisha usalama wa dunia, suala ambalo limeupelekea Umoja wa Mataifa kutangaza wazi wasiwasi wake kuhusiana na hatari hiyo.
-
Balozi: Russia iko tayari kuiuzia Iran ngao ya makobora ya S-400
Oct 04, 2020 04:03Balozi wa Russia mjini Tehran amesema nchi yake iko tayari kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa ulinzi wa makobora wa S-400 mara tu vikwazo vya silaha vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hii vitakapofikia tamati Oktoba 18 mwaka huu.
-
Russia yachukua uwenyekiti wa mzunguko wa Baraza la Usalama la UN, yasema Iran haitawekewa vikwazo
Oct 02, 2020 08:01Baada ya Marekani kushindwa kurefusha zaidi vikwazo vya silaha dhidi ya Iran katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, utawala wa Trump umedai ni mwanachama wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba eti Iran imekiuka madai hayo na hivyo vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran vinarejea kiotomatiki. Msimamo huo wa Marekani umepingwa kikamilifu na madola yote makubwa duniani hasa Russia.
-
Kremlin yakadhibisha madai mapya ya Navalny, yasema anashirikiana na CIA
Oct 01, 2020 21:09Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) amekadhibisha tuhuma mpya zilizotolewa na mkosoaji na mpinzani wa serikali ya nchi hiyo na kutangaza kuwa Moscow ina ushahidi unaothibitisha kuwa, Alexei Navalny anashirikiana na shirika la ujasusi la Marekani CIA.
-
Macron: Uturuki imetuma mamluki wa Kisyria kupigana Nagorno-Karabakh
Oct 01, 2020 07:43Ufaransa imeituhumu Uturuki kwamba imetuma mamluki wa Kisyria kupigana vita katika mzozo wa Nagorno-Karabakh na kusema Paris inashirikiana na Russia kwa ajili ya kusitisha mapigano kati ya majeshi ya Azerbaijan na Armenia.
-
Russia kuendelea kushirikiana kijeshi na Iran licha ya vikwazo vya Marekani
Sep 22, 2020 22:04Seneta mmoja wa Russia amesema nchi hiyo itaendelea kuwa na ushirikiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa kijeshi licha ya uhasama, vikwazo na mashinikizo ya Marekani.
-
Mazoezi ya kijeshi ya Kavkaz-2020 yaanza leo nchini Russia, Iran na China zinashiriki
Sep 21, 2020 10:07Mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyopewa jina la Kavkaz-2020 yamenza leo yakishirikisha wanajeshi elfu 13 kutoka nchi za Iran, China, Pakistan, Belarus, Myanmar na mwenyeji Russia katika eneo la kusini mwa nchi hiyo.
-
Msimamo mmoja wa kundi la 4+1 mbele ya madai hewa ya Marekani kuhusu Iran
Sep 21, 2020 07:03Licha ya Marekani kutoa madai hewa ya kuanza kutekelezwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran kuanzia jana Jumapili Septemba 20, 2020 vikiwemo vikwazo vya silaha, lakini mataifa ya dunia yamepinga madai hayo ya Washington na yamechukua msimamo imara kiasi kwamba inaonekana kama vile hakuna mabadiliko yoyote yaliyotokea.