Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Amani haitapatikana Asia Magharibi bila kutatuliwa kadhia ya Palestina

    Russia: Amani haitapatikana Asia Magharibi bila kutatuliwa kadhia ya Palestina

    Sep 18, 2020 03:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesema ni kosa kudhani kuwa amani ya kudumu itapatikana katika eneo la Asia Magharibi pasi na kutatuliwa mgogoro wa Palestina.

  • Urusi yaikosoa Ujerumani kwa kukataa kuipatia rekodi za matibabu za Navalny

    Urusi yaikosoa Ujerumani kwa kukataa kuipatia rekodi za matibabu za Navalny

    Sep 15, 2020 06:28

    Serikali ya Russia imeikosoa Ujerumani kwa kukataa kuipatia Moscow maelezo ya kimatibabu ya mpinzaji wa Russia, Alexei Navalny ambaye Magharibi inadai amepewa sumu, na badala yake imeipeleka kesi hiyo kwenye Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW).

  • Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani

    Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani

    Sep 13, 2020 03:04

    Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa na mivutano mikubwa baada ya kutokea mgogoro huko Ukraine mwaka 2014. Moja ya kadhia ambazo zimebadilika huko Marekani katika miaka ya karibuni na kuwa dhidi ya Moscow ni mjadala wa madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani hivi sasa soko la tuhuma hizo limezidi kupamba moto.

  • Moscow: Magaidi wa Jabhatu Nusra wanapanga kufanya mashambulizi ya kemikali Syria

    Moscow: Magaidi wa Jabhatu Nusra wanapanga kufanya mashambulizi ya kemikali Syria

    Sep 12, 2020 03:48

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetahadharisha kuwa, kundi la kigaidi la Jabhatu Nusra linajitayarisha kufanya mashambulizi ya silaha za kemikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria.

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Tehran haijali nani atakua rais wa Marekani, Trump au Biden

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Tehran haijali nani atakua rais wa Marekani, Trump au Biden

    Sep 11, 2020 06:25

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa si suala muhimu mwa Tehran kujua nani atakuwa rais wa Marekani na kuongeza kuwa, katika kipindi chote cha miongo minne iliyopita Marekani imekuwa ikiingilia chaguzi zinazofanyika katika nchi mblimbali duniani.

  • Russia: Tuko tayari kuongeza idadi ya washauri wa kijeshi CAR

    Russia: Tuko tayari kuongeza idadi ya washauri wa kijeshi CAR

    Sep 10, 2020 07:27

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje ambaye pia ni mjumbe maalumu wa Rais Vladimir Putin wa Russia katika masuala ya Asia Magharibi na Afrika amesema kuwa, Moscow iko tayari kuongeza idadi ya washauri wake wa kijeshi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati iwapo kutaonekana kuna udharura wa kufanya hivyo.

  • Lavrov: Russia ina wasiwasi na hatua za Marekani za kuibua mivutano Mediterania

    Lavrov: Russia ina wasiwasi na hatua za Marekani za kuibua mivutano Mediterania

    Sep 08, 2020 08:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua za Marekani za kuzusha hali ya mivutano katika eneo la mashariki mwa Mediterania.

  • UN, Uturuki zakosoa hukumu ya Saudia dhidi ya wauaji wa Khashoggi

    UN, Uturuki zakosoa hukumu ya Saudia dhidi ya wauaji wa Khashoggi

    Sep 08, 2020 03:23

    Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Saudi Arabia dhidi wahusika wa mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari raia wa Saudia aliyeuliwa kinyama ndani ya ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki mwaka 2018.

  • Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia

    Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia

    Sep 04, 2020 02:52

    Umoja wa Ulaya na Marekani zimekuwa zikiishinikiza Russia kupitia njia ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Moscow na kutumia madai ya kutetea haki za binadamu.

  • Russia yakanusha madai ya Ujerumani ya kumpa sumu Navalny

    Russia yakanusha madai ya Ujerumani ya kumpa sumu Navalny

    Sep 03, 2020 22:04

    Russia imekadhibisha madai kuwa Moscow ilimpa sumu mwanasiasa wa upinzani wa nchi hiyo Alexey Navalny ambaye anaendelea kupatiwa matibabu nchini Ujerumani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS