-
Russia na China zapongeza kikao cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA
Sep 02, 2020 03:31Russia na China zimepongeza mkutano wa Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA uliofanyika jana Jumanne huko Vienna, mji mkuu wa Austria.
-
Kansela wa Ujerumani asisitiza kuhusu nafasi ya jiostratejiki ya Russia kimataifa
Aug 31, 2020 03:13Kansela wa Ujerumani amesema kuwa Russia ni nchi iliyo na nafasi ya jio-stratejiki na ametaka mazungumzo yafanyike kati ya Berlin na Moscow.
-
Kuumbuka tena Marekani kwa kukataliwa takwa lake la kutekeleza "Snapback Mechanism" na Rais wa Baraza la Usalama la UN
Aug 26, 2020 08:18Baada ya Marekani kugonga mwamba kwa kushindwa kufanikisha njama yake ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, iliamua kuwasilisha shtaka jengine dhidi ya Tehran kwa kisingizio kuwa eti imekiuka msingi wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kwa hivyo ikataka utekelezwe Utaratibu wa Kurejesha Vikwazo Papo kwa Papo, unaojulikana kitaalamu kama 'Snapback Mechanism';
-
Jenerali Amir Hatami: Ushirikiano wa kijeshi wa Iran na Russia ni chanya
Aug 23, 2020 03:22Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia ni chanya na unaoendelea kuimarika.
-
Russia yaanza kuzalisha chanjo ya corona kwa matumizi ya umma, maambukizi yanaongezeka duniani
Aug 15, 2020 06:58Russia imetangaza leo Jumamosi kwamba imeanza kuzalisha chanjo ya virusi vya corona (COVID-19) kwa ajili ya matumizi ya umma huku nchi mbalimbali duniani zikizidisha juhudi za kudhibiti maambukizi ya virusi hivyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya
Aug 13, 2020 02:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameanza duru mpya ya safari barani Ulaya baada ya safari nyingine wiki tatu zilizopita. Mara hii Pompeo anatembelea nchi nne za Ulaya ya Kati na Mashariki.
-
Marekani yalegeza msimamo kuhusu kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Aug 12, 2020 23:00Juhudi za Marekani za kutaka vikwazo vya silaha dhidi ya Iran virefushwe katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimekabiliwa na changamoto kubwa.
-
Rais Putin wa Russia atangaza chanjo ya kwanza ya corora duniani, binti yake apewa chanjo hiyo
Aug 11, 2020 07:44Rais Vladmir Putin wa Russia ametangaza leo kuwa, nchi yake imetengeneza chanjo ya kwanza kabisa ya virusii vya corona inayotoa kinga ya kudumu dhidi ya virusi hivyo.
-
Russia yakamilisha majaribio ya kitiba ya chanjo ya corona
Aug 06, 2020 03:43Waziri wa Afya wa Russia amesema kuwa majaribio ya chanjo ya corona yamekamilika nchini humo.
-
Jeshi la Libya: Russia inatuma silaha huko Libya
Aug 03, 2020 03:07Jeshi la Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya limedai kuwa Russia inatuma wanajeshi na zana za kijeshi katika kituo cha jeshi la anga cha al Jufra nchini Libya.