Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Sisitizo la Zarif kuhusu kusainiwa upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu wa Iran na Russia

    Sisitizo la Zarif kuhusu kusainiwa upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu wa Iran na Russia

    Aug 02, 2020 23:13

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesistiiza kuhusu umuhimu wa kutiwa saini upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu baina ya Iran na Russia katika uga wa uhusiano wa kistratijia.

  • Russia yatahadharisha, dunia inarejea katika kipindi cha Vita Baridi

    Russia yatahadharisha, dunia inarejea katika kipindi cha Vita Baridi

    Aug 02, 2020 06:57

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametahadharisha kuhusu uwezekano wa dunia kurejea katika kipindi cha Vita Baridi.

  • Indhari ya Pompeo kwa Russia na madai ya kuondoka wanajeshi wa Marekani Afghanistan ifikapo Mei 2021

    Indhari ya Pompeo kwa Russia na madai ya kuondoka wanajeshi wa Marekani Afghanistan ifikapo Mei 2021

    Aug 01, 2020 21:53

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha rasmi mchakato wa kuondoka wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan kabla ya wakati ulioainishwa awali, kwa kuzingatia ahadi alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi na mapatano iliyofikia Marekani na kundi la Taliban mwezi Februari mwaka huu. Hivi sasa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani anazungumzia kuainishwa wakati wa kukamilisha mchakato huo wa kuwaondoa wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan na wakati huo huo anatoa vitisho kwa Russia.

  • Russia yaapa kilipiza kisasi vikwazo vya Umoja wa Ulaya

    Russia yaapa kilipiza kisasi vikwazo vya Umoja wa Ulaya

    Jul 31, 2020 22:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetangaza kuwa nchi hiyo itajibu mapigo ya vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya shirika la ujasusi la Russia.

  • Maafikiano ya Uturuki na Russia kuhusu Libya na nafasi ya wahusika wakuu wa kikanda na kimataifa

    Maafikiano ya Uturuki na Russia kuhusu Libya na nafasi ya wahusika wakuu wa kikanda na kimataifa

    Jul 24, 2020 02:40

    Wizara za Mambo ya Nchi za Nje za Russia na Uturuki zimetangaza kuwa, wanadiplomasia wa ngazi za juu wa nchi hizo mbili waliokutana Ankara wametoa taarifa ya pamoja kuhusu mgogoro wa Libya wakitangaza kuwa wamefikia mwafaka juu ya suala la kuunda kamati ya pamoja itakayoendeleza ushirikiano wa Moscow na Ankara katika mgogoro wa Libya.

  • Ushirikiano wa Russia na Iran ni kwa manufaa ya amani na usalama wa dunia

    Ushirikiano wa Russia na Iran ni kwa manufaa ya amani na usalama wa dunia

    Jul 17, 2020 06:08

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia sambamba na kutangaza kuunga mkono suala la kulindwa na kudumishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na udharura wa kukabiliana na siasa za Marekani za uchukuaji maamuzi ya upande mmoja wamesisitiza juu ya kustawishwa zaidi uhusiano wa Tehran na Moscow.

  • Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana

    Russia na Ujerumani: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havina maana

    Jul 16, 2020 03:24

    Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani wamesisitiza kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran havina umuhimu wowote.

  • Russia: Misaada ya kibinadamu nchini Syria haipaswi kuwekewa masharti ya kisiasa

    Russia: Misaada ya kibinadamu nchini Syria haipaswi kuwekewa masharti ya kisiasa

    Jul 14, 2020 06:41

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa misaada ya kibinadamu kwa ajili ya Syria haipaswi kuhusishwa na masuala ya kisiasa na kuzusha wasiwasi kwa baadhi ya watu.

  • Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia

    Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia

    Jul 13, 2020 22:10

    Uhusiano wa Marekani na Russsia umekuwa na panda shuka nyingi katika kipindi cha baada ya Vita Baridi. Hata hivyo baada ya kujitokeza mgogoro wa Ukraine hapo mwaka 2014 uhusiano wa Moscow na Washington uliingia katika mporomoko mkubwa na sasa hitilafu kati ya pande hizo mbili zimepanuka zaidi na zaidi.

  • Sisitizo la Russia la kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya

    Sisitizo la Russia la kupatikana ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Libya

    Jul 11, 2020 22:03

    Mgogoro wa kisiasa na vita vya Libya bado vinaendelea sambamba na jitihada zinazofanyika kikanda na kimataifa kwa ajili ya kupatikana ufumbuzi wa mgogoro huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS