Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Russia: Marekani inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kisiasa

    Russia: Marekani inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kisiasa

    Jul 11, 2020 09:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mivutano na mizozo ya kisiasa ya ndani ya nchi ndiyo sababu kuu iliyoipelekea Marekani iibue madai yasiyo na msingi dhidi ya Moscow.

  • Sisitizo la Russia la kugonga mwamba Marekani katika mwendelezo wake wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Sisitizo la Russia la kugonga mwamba Marekani katika mwendelezo wake wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Jul 11, 2020 03:06

    Marekani imeanzisha vita vikubwa vya kuzuia kuondolewa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran, ambavyo kwa mujibu wa azimio nambri 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa inapasa vifikie kikomo ifikapo Oktoba 18, 2020; na ili kufikia lengo hilo imewasilisha rasimu ya azimio kwa nchi wanachama wa baraza hilo. Hata hivyo kwa Russia inaamini kuwa hatua hizo za Marekani zitagonga mwamba.

  • Russia na China zalipigia kura ya veto azimio linalokiuka mamlaka ya kujitawala ya Syria

    Russia na China zalipigia kura ya veto azimio linalokiuka mamlaka ya kujitawala ya Syria

    Jul 10, 2020 23:25

    Russia na China zimelipigia kura ya veto azimio lililotaka kupitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuruhusu misaada ya kibinadamu kupelekwa nchini Syria bila ya idhini ya serikali kuu ya nchi hiyo.

  • Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Wasiwasi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka uingiliaji wa kigeni nchini Libya

    Jul 09, 2020 21:54

    Vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Libya vimechukua sura mpya na tata na hasa kufuatia uamuzi wa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Kitaifa la Libya linaloongozwa na jenerali muasi Khalifa Haftar wa kuanzisha hujuma ya kuuteka mji mkuu wa nchi hiyo Tripoli, mnamo mwezi Aprili 2019 na uingiliaji wa nchi za kigeni kwa ajili ya kuziunga mkono pande hasimu katika mgogoro huo.

  • Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Jul 07, 2020 23:49

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.

  • Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja

    Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja

    Jul 05, 2020 21:57

    Licha ya Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya kuahidi kutekeleza ahadi zao katika fremu ya mapatano ya JCPOA, lakini pande mbili hizo zimeshindwa kabisa kutekeleza ahadi hizo.

  • Lawama kali za Russia kwa azimio lililopendekezwa na Marekani la kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Lawama kali za Russia kwa azimio lililopendekezwa na Marekani la kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Jul 03, 2020 07:02

    Ikiwa ni katika kuendeleza siasa zake za kukabiliana na nguvu za kiulinzi na kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu zinazozidi kuongezeka siku hadi siku, serikali ya Donald Trump huko Marekani imeanzisha kampeni kubwa ya kimataifa ya kuzuia kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Marekani na tuhuma mpya za kuwepo uhusiano kati ya Russia na Taliban

    Jul 02, 2020 20:09

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi na kuikalia kwa mabavu Afghanistan kwa kutumia kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 yaliyolenga sehemu kadhaa ndani ya ardhi ya Marekani. Wakati rais wa Marekani Donald Trump alipokuwa katika kampeni za uchaguzi wa urais wa mwaka 2016 na hata baada ya kuingia ikulu ya White House aliahidi kuwa atawaondoa askari wa nchi hiyo walioko Afghanistan. Hata hivyo pamoja na ahadi hiyo, askari wengi wa jeshi la Marekani wangaliko katika ardhi ya Afghanistan.

  • Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria

    Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria

    Jul 01, 2020 06:53

    Russia imekosoa mienendo inayokinzana ya nchi za Magharibi ya kuiwekea vikwazo vya uchumi Syria na wakati huo huo zinaitisha mkutano wa kukusanya misaada eti ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa nchi hiyo.

  • Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa  Marekani

    Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani

    Jun 29, 2020 22:03

    Njama za nchi za Magharibi za kutaka kuyatwisha mataifa mengine shabaha na malengo yake zimekumbwa na upinzani wa nchi nyingine duniani. Hasa ikitiliwa maanani kuwa nchi za Magharibi hususan Marekani siku zote zimekuwa zikitaka kuidhibiti dunia na kutwisha misimamo na hatua zake za upande mmoja duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS