-
Kremlin nayo yapinga madai ya New York Times kuhusu mauaji ya wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan
Jun 29, 2020 21:59Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, amesema kuwa madai yaliyotolewa na gazeti la New York Time kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan ni ya uongo.
-
Russia yakanusha madai ya kushirikiana na Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan
Jun 27, 2020 22:04Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imekadhibisha madai yaliyotolewa na gazeti la New York Times kwamba Moscow imeshirikiana na wapiganaji wa kundi la Taliban kuwaua wanajeshi wa Marekani huko Afghanistan.
-
Njama za Marekani za kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kupitia Baraza la Usalama la UN
Jun 25, 2020 22:02Marekani imeanzisha kampeni kubwa za kimataifa za kulizuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lisitekeleze azimio lake nambari 2231 linalotoa amri ya kuiondolea Iran vikwazo vya silaha ifikapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Marekani inaendesha njama hizo kama sehemu ya kukabiliana na uwezo mkubwa wa kiulinzi na kijeshi wa Iran unaozidi kukua na kuwa imara siku baada ya siku.
-
Kumalizika mapema mazungumzo ya Marekani na Russia kuhusu udhibiti wa silaha za nyuklia
Jun 23, 2020 22:01Moja ya hitilafu kubwa na za kimsingi za Russia na Marekani kuhusiana na kuongezwa muda wa mikataba ya kudhibiti silaha inahusiana na mkataba wa kistratijia wa silaha za nyuklia wa New START.
-
Russia na China zakosoa azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA dhidi ya Iran
Jun 19, 2020 23:37Russia na China zimekosoa hatua ya kupasishwa azimio dhidi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA
Jun 16, 2020 22:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki haufai kubadilishwa na kuwa chombo cha Marekani kuharibu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Zarif: IAEA haifai kuwa chombo cha kutumiwa na Marekani kuharibu mapatano ya JCPOA
Jun 16, 2020 20:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki haupasi kubadilishwa kuwa chombo cha Marekani kuharibu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Iran na Russia zapinga misimamo ya upande mmoja katika kutatua masuala ya kimataifa
Jun 16, 2020 10:06Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Russia wamesisitiza udhaura wa kukabiliana na misimamo iliyo kinyume cha sheria na ya upande mmoja katika kuitafutia ufumbuzi migogoro ya kimataifa.
-
Waziri Zarif aelekea Russia baada ya kuitembelea Uturuki
Jun 16, 2020 03:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia katika ziara rasmi ya kikazi baada ya kuitembelea Uturuki na kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
Malalamiko ya Ujerumani kwa vitisho vya Marekani dhidi ya usalama wa nishati barani Ulaya
Jun 15, 2020 03:30Baada ya Donald Trump kuingia katika Ikulu ya Marekani, White House, uhusiano wa Washington na Umoja wa Ulaya ikiwemo Ujerumani umevurugika na kufikia kiwango cha chini kabisa. Uhusiano huo umezidi kuwa mbaya baada ya Trump kuzungumzia suala la kuondoa wanajeshi wa Marekani huko Ujerumani.