-
Putin na Merkel wabainisha wasiwasi wao kufuatia kushtadi mapigano ya silaha huko Libya
Jun 10, 2020 03:20Rais wa Russia na Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel wamesema kuwa wana wasiwasi kufuata kushtadi mapigano ya silaha huko Libya. Viongozi hao wawili wa Russia na Ujerumani wameeleza hayo katika mazungumzo waliyofanya kwa njia ya simu.
-
Russia yasajili dawa nyingine ya kutibu corona
Jun 07, 2020 07:05Wizara ya Afya ya Russia imetangaza kwamba imesajili dawa nyingine iliyopewa jina la Levilimab kwa ajili ya kutibu wagonjwa wahututi wa corona.
-
Jitihada mpya za Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jun 05, 2020 22:23Moja kati ya vipengee muhimu vya mapatano ya nyuklia ya maarufu kwa kifupi ka jina la JCPOA ni azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambalo lina kipengee kuhusu kufutwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran miaka mitano baada ya kuanza kutekelezwa mapatano hayo.
-
Russia yakanusha madai ya US ya kutuma ndege za kivita Libya
May 27, 2020 11:21Russia imekadhibisha na kutaja kama upotoshaji madai ya Marekani kwamba Mosow imetuma ndege za kijeshi nchini Libya kwenda kuwasaidia wapiganaji wa Khalifa Haftar.
-
Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani
May 26, 2020 23:28Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.
-
Russia: Wapinzani wa JCPOA wanakusudia kudunisha ushirikiano wa Iran na IAEA
May 25, 2020 21:56Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna nchini Austria amesema wapinzani wa makubaliano ya nyuklia yaliyosainiwa baina ya Iran na madola makubwa duniani mwaka 2015 wanalenga kudunisha na kudhalilisha muamana na ushirikiano baina ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Onyo la Russia kuhusu madhara ya hatua za Wazayuni dhidi ya Palestina
May 24, 2020 02:39Hatua zilizo kinyume cha sheria na zisizo za kibinadamu za Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina zimepamba moto sana katika miaka ya hivi karibuni. Mbali na kuwaua Wapalestina hasa katika Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni umeongeza sana kasi ya kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Russia na Venezuela zakosoa hatua zisizo za kisheria za Marekani
May 22, 2020 02:00Tangu Rais Donald Trump mwenye kashfa nyingi wa Marekani aingie ikulu ya White House ameshadidisha siasa za uhasama dhidi ya Venezuela ambapo pia amefanya njama nyingi za kuiondoa madarakani serikali halali ya Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo sambamba na kuiwekea vikwazo vikali.
-
Russia yakanusha kuwepo mvutano katika uhusiano wake na Syria
May 21, 2020 22:12Balozi wa Russia nchini Syria ametupilia mbali madai ya kuwepo hitilafu katika uhusiano wa serikali ya Moscow na Damascus.
-
Mtaalamu wa Russia: Waislamu wanasubiri miongozo ya Kiongozi Muadhamu kuhusu kuitetea Quds
May 19, 2020 20:20Mkuu wa chuo cha Ahlul-Bayti (as) cha nchini Russia amesema, hivi sasa Waislamu duniani wanasubiria miongozi ya Kiongozi Muadhamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei katika kubainisha ramani ya njia ya mapambano ya kuikomboa Palestina kwenye mazingira mapya ya hivi sasa duniani.