-
Upinzani wa mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 kwa msimamo wa IAEA kuhusu Iran
Mar 05, 2020 22:54Ripoti ya mwisho kabisa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuhusiana na miradi ya nyuklia ya Iran, mbali na kudai kwamba Tehran haikuchunga mipaka iliyowekwa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA, imetoa madai mengine mapya kuhusu Iran, mambo ambayo yamepingwa na mrengo wa Mashariki wa kundi la 4+1 ambao unaundwa na nchi mbili za Russia na China.
-
Russia: Kurejea Iran kwenye utekelezaji kamili wa JCPOA kunategemea siasa za Marekani
Mar 04, 2020 04:05Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa amemkosoa mwandishi wa gazeti la Marekani la Wall Street Journal aliyetumia vibaya ripoti ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kuhusu kupunguza Iran kutekeleza ahadi zake za JCPOA na kusisitiza kuwa, Tehran itarejea mara moja katika utekelezaji kamili wa mapatano hayo kama Marekani itajirekebisha na kubadilisha siasa zake.
-
Putin: Moscow haina nia ya kuingia vitani na nchi yoyote
Mar 02, 2020 10:07Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa radiamali yake kufuatia kushtadi mizozo kati ya nchi yake na Uturuki kuhusiana na kadhia ya Idlib, Syria na kusisitiza kwamba, Moscow haina nia ya kuingia vitani na nchi yoyote.
-
Baraza la Mamufti Russia lamshukuru Kiongozi Muadhamu kwa kuwatetea Wapalestina
Mar 01, 2020 04:39Baraza la Mamufti la Russia limempongeza na kumshukuru Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei kwa kutetea haki halali za Wapalestina.
-
Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia
Feb 29, 2020 05:49Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na yanayojiri katika eneo la Idlib nchini Syria na kueleleza wasiwasi wa Tehran kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mivutano na machafuko katika eneo hilo. Taarifa hiyo pia imelaani hatua zinazofanywa na pande nyingine kwa ajili ya kukwamisha mwenendo wa mazungumzo ya Astana.
-
Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria
Feb 28, 2020 23:08Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.
-
Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran
Feb 26, 2020 23:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amevitaja vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kuwa kinyume cha sheria na kueleza kuwa Moscow itapinga juhudi zozote kwa lengo la kuirejeshea Tehran vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
-
Dmitry Novikov: Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani
Feb 24, 2020 03:37Mwanachama wa Kamati ya Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuna uwezekano kwamba, virusi vya Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani.
-
Marekani yafanya mazoezi ya vita vya kinyuklia dhidi Russia
Feb 22, 2020 21:46Jeshi la Marekani limefanya mazoezi ya kuishambulia Russia kwa silaha za nyuklia huku mzozo ukizidi kutokota kati ya madola hayo mawili yenye uwezo mkubwa zaidi wa silaha za nyuklia duniani.
-
Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake
Feb 21, 2020 03:18Muelekeo wa madola ya Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima umekuwa wa kulikoloni, kulinyonya na kulipora utajiri wake bara hilo, pamoja na kuwakandamiza Waafrika wanaopigania nchi zo kuwa huru na kujitawala.