-
Safari ya kwanza ya Joe Biden barani Ulaya, mshikamano wa pande mbili za Atlantic na tahadhari kwa Russia
Jun 11, 2021 02:06Rais Joe Biden wa Marekani Jumatano wiki hii aliekelea barani Ulaya ikiwa safari yake ya kwanza nje ya nchi baada ya kushika hatamu za uongozi.
-
Macron akiri, Ufaransa ilihusika katika mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994
May 28, 2021 07:12Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba, nchi yake ilihusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.
-
Safari ya mawaziri watatu wa mambo ya nje wa Ulaya nchini Libya
Mar 27, 2021 02:30Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Ufaransa, Ujerumani na Italia Alkhamisi iliyopita walikwenda Tripoli mji mkuu wa Libya kwa shabaha ya kujadili mustakbali wa uhusiano wa nchi za Ulaya na Libya. Mawaziri hao pia wamesisitiza udharura wa kuondoka vikosi vya majeshi ya kigeni katika ardhi ya Libya.
-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 11:00Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
Safari ya Miller Afghanistan; juhudi za Marekani za kutaka kuendelea kuwepo kijeshi nchini humo
Dec 24, 2020 03:32Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani juzi Jumanne alielekea mji mkuu wa Afghanistan Kabul katika safari ya ghafla ambayo haikutangazwa kabla na kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo Muhammad Ashraf Ghani.
-
Kushadidi upinzani dhidi ya safari ya Mike Pompeo katika eneo la Amerika ya Latini
Sep 22, 2020 10:27Safari ya Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani katika nchi nne za Amerika ya Latini, licha ya kuwa imefanyika kwa ajili ya kuongeza mbinyo na mashinikizo dhidi ya Venezuela, lakini imekabiliwa na malalamiko na upinzani wa makundi mengi ya wanaharakati wa amani na vyama mbalimbali katika mataifa hayo.
-
Safari ya Macron nchini Iraq, jitihada za kutunisha nafasi ya Ufaransa eneo la magharibi mwa Asia
Sep 03, 2020 09:00Katika mwezi mmoja uliopita Ufaransa imezidisha harakati zake za kidiplomasia kupitia safari za rais wa nchi hiyo katika nchi za Lebanon na Iraq katika fremu ya kutaka kukuza na kuzidisha nafasi ya Paris katika matukio ya eneo la magharibi mwa Asia.
-
Kufanya safari tena Rais wa Ufaransa nchini Lebanon
Sep 01, 2020 10:40Baada ya kupita takriban mwezi mmoja tangu kutokea mlipuko mkubwa katika bandari ya Beirut, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa mara ya pili ameelekea nchini Lebanon.
-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 06:29Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.
-
Safari ya Mike Pompeo nchini Sudan; juhudi za kuanzishwa uhusiano kati ya Khartoum na Tel-Aviv
Aug 27, 2020 07:40Licha ya juhudi za Mike Pompeo, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani za kuifanya Sudan ikubali kuanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel, lakini Abdalla Hamdok, Waziri Mkuu wa serikali ya muda ya Sudan amesisitiza kuwa, hana mamlaka ya kuchukua maamuzi kuhusiana na uhusiano na Israel.