Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

safari

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa UK nchini Saudia, juhudi za kuisakamua Riyadh kutoka kwenye kinamasi cha Yemen

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa UK nchini Saudia, juhudi za kuisakamua Riyadh kutoka kwenye kinamasi cha Yemen

    Mar 07, 2020 02:30

    Serikali ya kihafidhina ya Uingereza ni miongoni wa waitifaki wakuu wa utawala wa kiimla wa Saudi Arabia na ina uhusiano wa kindakindaki wa kiuchumi na kisilaha na utawala huo wa kidikteta. Kama hilo halitoshi, Uingereza pia ina mchango mkubwa katika uvamizi wa nchi maskini ya Yemen unaoongozwa na Saudia.

  • Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani

    Azimio la UN kwa ajili ya kuwaondolea vizuizi wanadiplomasia wa Iran nchini Marekani

    Dec 20, 2019 02:46

    Marekani ambayi ni mwenyeji wa makao makuu ya Umoja wa Mataifa siku zore imekuwa ikitatiza na kuwekdea vizingiti wanadiplomasia na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbalimbali zinaopinga siasa za Washington.

  • Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Nov 03, 2019 04:21

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalikuwa natija ya juhudi za kidiplomasia na mazungumzo ya awamu kadhaa kati ya Iran na kundi la 5+1; hivi sasa yanakabiliwa na hatari kubwa kufuatia hatua ya Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano hayo na kutotekeleza ahadi nchi za Ulaya; hatua iliyokabiliwa na radiamali kali ya Iran ambayo pia imeamua kupunguza hatua kwa hatua uwajibikaji wake ndani ya makubaliano hayo.

  • Raia wa Jordan waandamana kupinga safari ya mkwe wa Trump nchini kwao

    Raia wa Jordan waandamana kupinga safari ya mkwe wa Trump nchini kwao

    May 29, 2019 23:12

    Raia wa Jordan wamefanya maandamano kupinga safari ya Jared Kushner, mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi ambapo wamepiga kambi mbele ya ubalozi wa Marekani mjini Amman.

  • Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    May 26, 2019 21:51

    Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.

  • HAMAS yalaani safari ya Rais wa Brazil katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu

    HAMAS yalaani safari ya Rais wa Brazil katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu

    Apr 02, 2019 03:26

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani safari ya Rais Jair Bolsonaro wa Brazil katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel).

  • Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq

    Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq

    Feb 13, 2019 09:30

    Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • Sisitizo la Russia na India la kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Sisitizo la Russia na India la kutekelezwa kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 07, 2018 23:03

    India na Russia wakiwa wanachama wa kundi la BRICS ambao wanataka mabadiliko katika muundo wa kimataifa utakao kuwa mbali na udhibiti wa Magharibi hususan Marekani, zimetangaza tena uungaji mkono wao kwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Safari ya Putin nchini India, mapambano ya Moscow na New Delhi dhidi ya vikwazo vya Marekani

    Oct 05, 2018 03:07

    Russia na India zimeimarisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijeshi na silaha za nyuklia katika kipindi cha baada ya Vita Baridi na wakati huo huo zikiwa wanachama wa kundi la Brics, zinafnya jitihada za kupanua zaidi ushirikiano wa pande mbili.

  • Israel yamzuia Ahed Tamimi binti wa Kipalestina mwanamapambano kuelekea Iran

    Israel yamzuia Ahed Tamimi binti wa Kipalestina mwanamapambano kuelekea Iran

    Sep 15, 2018 09:35

    Baba wa Ahed Tamimi, binti mwanamapambano wa Kipalestina amesema kuwa, licha ya utawala haramu wa Kizayuni kumzuia Ahed kufanya safari, binti yake huyo pamoja na familia yake anaendelea kufanya juhudi kwa ajili ya kusafiri kuelekea Jordan na kisha kutoka hapo kuelekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ili kuendelea na harakati zake kwa ajili ya taifa la Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS