Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

safari

  • Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump

    Aug 26, 2018 22:48

    Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia nchini Ethiopia

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia nchini Ethiopia

    Mar 09, 2018 22:00

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amewasili Addis Ababa kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ethiopia.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Misri

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Misri

    Feb 12, 2018 23:27

    Rex W. Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiwa katika safari yake ya kiduru katika kuzitembelea nchi za eneo, aliwasili jana mjini Cairo, mji mkuu wa Misri.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika

    Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika

    Feb 03, 2018 23:11

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari huko Tunisia na Senegal na kufanya mashauriano na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbili hizo kuhusu masuala mbalimbali kama kuzidisha ushirikiano wa pande mbili, mapambano dhidi ya ugaidi na masuala yanayohusiana na Libya.

  • Safari na Bin Salman Uingereza yaahirishwa kwa tuhuma za kufanya jinai dhidi ya binadamu

    Safari na Bin Salman Uingereza yaahirishwa kwa tuhuma za kufanya jinai dhidi ya binadamu

    Feb 03, 2018 12:05

    Safari iliyopangwa kufanywa na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia nchini Uingereza imeahirishwa kwa muda usiojulikana baada wabunge, jumuiya za kiraia na makundi ya kutetea haki za binadamu kupinga safari hiyo.

  • Russia yawaonya raia wake kutotembelea Ulaya na Marekani

    Russia yawaonya raia wake kutotembelea Ulaya na Marekani

    Nov 18, 2017 11:50

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imewatahadharisha raia wake walio na nia ya kutembelea Marekani na nchi za Ulaya katika kipindi cha sherehe za mwaka mpya wa Milaadia na kusema kuwa kuna hatari ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika nchi hizo.

  • Safari ya Rais wa Russia nchini Uturuki; juhudi za kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili

    Safari ya Rais wa Russia nchini Uturuki; juhudi za kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili

    Sep 29, 2017 04:27

    Alkhamisi ya jana tarehe 28 Septemba, Rais Vladimir Putin wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo mjini Ankara Uturuki na Rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdoğan, ambapo viongozi hao wawili wamebadilishana mawazo kuhusiana na hali ya mambo katika eneo la Mashariki ya Kati pamoja na uhusiano wa pande mbili.

  • Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Uingereza nchini Saudia

    Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Uingereza nchini Saudia

    Sep 22, 2017 00:54

    Jumanne iliyopita, Michael Cathel Fallon, Waziri wa Ulinzi wa Uingereza sambamba na kukutana mjini Jeddah na Mohammad bin Salman bin Abdulaziz Al Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme nchini Saudia, walitiliana saini mikataba ya ushirikiano wa kiulinzi na kiusalama.

  • Malengo ya safari ya pamoja ya Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Ufaransa nchini Iraq

    Malengo ya safari ya pamoja ya Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Ufaransa nchini Iraq

    Aug 27, 2017 21:46

    Juzi Jumamosi tarehe 26 Agosti, Jean-Yves Le Drian na Florence Parly, Mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Ufaransa, waliwasili Baghdad, mji mkuu wa Iraq wakiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yao kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Baghdad.

  • Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Aug 21, 2017 03:44

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis jana Jumapili aliwasili Amman katika awamu ya kwanza ya safari ya kuzitembelea nchi tatu za Jordan, Uturuki an Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS