Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

safari

  • Ufaransa na malengo ya kisiasa na kiuchumi katika eneo la Sahel, Afrika

    Ufaransa na malengo ya kisiasa na kiuchumi katika eneo la Sahel, Afrika

    Jul 03, 2017 02:32

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliwasili jana mjini Bamako, mji mkuu wa Mali kwa lengo la kushiriki katika kikao kilichopewa anwani ya 'Kundi la Nchi Tano za Sahel' na katika fremu ya kuundwa kikosi cha kijeshi cha nchi za eneo hilo.

  • Ushirikiano wa Ujerumani na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen

    Ushirikiano wa Ujerumani na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen

    May 01, 2017 08:54

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ambaye siku ya Jumapili alifanya safari nchini Saudi Arabia, ameitaka nchi hiyo kusimamisha mashambulio yake dhidi ya taifa la Yemen.

  • Safari ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Misri

    Safari ya Papa Francis Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Misri

    Apr 29, 2017 03:19

    Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Ijumaa ya jana alianza safari ya siku mbili nchini Misri. Safari ya Papa Francis nchini Misri inafanyika katika muendelezo wa stratejia ya mazungumzo na Uislamu wa wastani ambayo yalianza mwaka uliopita huko Roma kwa kuhudhuriwa na Ahmad Tayyib, Sheikh Mkuu wa al-Azhar.

  • kuongezeka ushirikiano baina ya Uingereza na Misri

    kuongezeka ushirikiano baina ya Uingereza na Misri

    Feb 26, 2017 23:14

    Ikiwa ni katika juhudi za Uingereza za kupanua mahusiano yake na nchi nyingine, Boris Johnson, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo amefanya safari nchini Misri kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa pande mbili.

  • Iraq yajibu mapigo, Bunge lapasisha sheria ya kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Iraq yajibu mapigo, Bunge lapasisha sheria ya kuwazuia Wamarekani kuingia nchini humo

    Jan 31, 2017 00:41

    Bunge la Iraq limejibu hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo kwa kupasisha sharia inayowapiga marufuku Wamarekani kuingia nchini Iraq.

  • Rais wa Iran aanza safari ya kieneo Asia ya Kati kwa kuelekea Yerevan, Armenia

    Rais wa Iran aanza safari ya kieneo Asia ya Kati kwa kuelekea Yerevan, Armenia

    Dec 21, 2016 03:28

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameondoka mjini Tehran na kuelekea Yerevan mji mkuu wa Armenia ikiwa ni kituo chake cha kwanza cha safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za eneo la Asia ya Kati.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS