-
Ayatullah Kermani: Vikosi vya ulinzi vijizatiti kwa silaha za kisasa
Mar 18, 2016 16:37Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran Ayatullah Muhammad Ali Movahedi-Kermani amesema kuna ulazima wa vikosi vya ulinzi kujizatiti kwa silaha za kisasa kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya maadui.
-
Kujitokeza Wairani katika uchaguzi ni ishara ya ufahamu
Feb 26, 2016 16:15Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kujitokeza kwa wingi Wairani katika chaguzi mbili za leo ni ishara ya kuwa hai na kuwa na ufahamu na uelewa taifa la Iran.
-
Wairani washukuriwa kwa kushiriki maadhimisho ya Mapinduzi
Feb 12, 2016 15:18Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amewashukuru wananchi wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya 22 Bahman (11 Februari) kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.