Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Salehi

  • Waziri wa Miongozo ya Kiislamu wa Iran: Shahidi Nasrullah aliunganisha fikra na vitendo

    Waziri wa Miongozo ya Kiislamu wa Iran: Shahidi Nasrullah aliunganisha fikra na vitendo

    Nov 10, 2024 03:39

    Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, amesema kwamba Shahidi Hassan Nasrullah alikuwa shakhsia mwenye kutafakari na kuchambua mambo ipasavyo na kuongeza kuwa: Shahidi huyu wa daraja ya juu alikuwa ni mchanganyiko adimu wa uwezo wa fikra na kutenda."

  • Salehi: Mkwamo katika mapatano ya JCPOA umeanza kuondoka

    Salehi: Mkwamo katika mapatano ya JCPOA umeanza kuondoka

    Apr 03, 2021 07:28

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, mkwamo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA umeanza kuondoka na kuongeza kuwa, kwa vile hivi sasa mazungumzo kuhusu JCPOA yameingia katika hatua ya kiufundi na yameshatoka kwenye mivutano ya awali, maana yake ni kwamba mkwamo katika mazungumzo hayo umeanza kuondoka.

  • Salehi: Kazi muhimu zaidi ya Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran ni kuzalisha umeme wa nyuklia

    Salehi: Kazi muhimu zaidi ya Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran ni kuzalisha umeme wa nyuklia

    Jan 18, 2021 07:56

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa uzalishaji umeme wa nyuklia ni kipaumbele na kazi muhimu zaidi ya taasisi hiyo.

  • Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia

    Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia

    Feb 03, 2019 07:01

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa ushirikiano kati ya Iran na Ulaya katika miradi mbalimbali ya kinyuklia unapiga hatua nzuri.

  • Iran: Tutatoa jibu kali iwapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Iran: Tutatoa jibu kali iwapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Apr 06, 2018 03:48

    Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amezitahadharisha nchi zinazotaka kuvuruga makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kati ya Iran na nchi 6 wanachama wa kundi la 5+1 na kusisitiza kuwa, Tehran itatoa jibu kali kwa hatua kama hiyo.

  • Iran yasisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vya kibenki ili kulinda makubaliano ya JCPOA

    Iran yasisitiza udharura wa kuondolewa vikwazo vya kibenki ili kulinda makubaliano ya JCPOA

    Dec 11, 2017 03:34

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema kuwa, kuondolewa vikwazo vya ushirikiano ukiwemo uga wa ushirikiano wa kibenki ni jambo la dharura kwa ajili ya kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Salehi: Marekani inafanya njama za kufuta makubaliano ya JCPOA

    Salehi: Marekani inafanya njama za kufuta makubaliano ya JCPOA

    Nov 05, 2017 03:10

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inataka kuyasambaratisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa gharama za Iran.

  • Dakta Salehi: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA litakuwa la kushtukiza

    Dakta Salehi: Jibu la Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA litakuwa la kushtukiza

    Aug 10, 2017 13:58

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa, kama Iran ikitaka kutoa jibu kwa ukiukaji wa makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Utekelezaji wa Pamoja (JCPOA) basi jibu lake litakuwa ni la kushtukiza.

  • Salehi: Machaguo yote yako mezani endapo Marekani itakiuka JCPOA

    Salehi: Machaguo yote yako mezani endapo Marekani itakiuka JCPOA

    Aug 08, 2017 14:49

    Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Ali Akbar Salehi amesema Tehran itaweka machaguo yote mezani endapo Marekani itakiuka makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 yaliyosainiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi zinazounda kundi la 5+1.

  •  Jibu la Iran kwa ukiukaji wa Marekani wa JCPOA, ni kurutubisha SWU laki moja

    Jibu la Iran kwa ukiukaji wa Marekani wa JCPOA, ni kurutubisha SWU laki moja

    Feb 07, 2017 07:17

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa jibu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA utakaofanywa na serikali ya Marekani litakuwa ni kurutubisha Separative Work Unit (SWU) laki moja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS