Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020

    Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari kwa waandishi habari mwaka 2020

    Dec 29, 2020 02:39

    Gazeti la Washington Post limeripoti kuwa Saudi Arabia na Misri zimo kwenye orodha ya nchi hatari sana kwa waandishi habari katika mwaka huu wa 2020.

  • Serikali ya Trump yaamua kuiuzia Saudia mabomu licha ya upinzani wa Wademocrat

    Serikali ya Trump yaamua kuiuzia Saudia mabomu licha ya upinzani wa Wademocrat

    Dec 24, 2020 09:17

    Serikali ya Marekani imeamua kutoa kibali cha kuruhusu kuiuzia Saudia mabomu; hatua ambayo imepingwa vikali na wabunge wa chama cha Democrat.

  • Wanazuoni kadhaa wa Kishia wamekamatwa Saudi Arabia

    Wanazuoni kadhaa wa Kishia wamekamatwa Saudi Arabia

    Dec 22, 2020 21:24

    Wanazuoni zaidi ya 12 wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia wanashikiliwa bila kufunguliwa mashtaka nchini Saudi Arabia huku ufalme huo ukishadidisha ukandamizaji wa jamii za waliowachache nchini humo.

  •  Saudia yabadilisha vitabu vya masomo ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni

    Saudia yabadilisha vitabu vya masomo ili kuuridhisha utawala wa Kizayuni

    Dec 20, 2020 23:29

    Duru za habari zimearifu kuwa, Saudi Arabia imebadilisha vitabu vya masomo ya wanafunzi wa shule nchini humo kulingana na matakwa ya utawala haramu wa Kizayuni.

  • Bin Salman na Bin Zayed wafanya kikao cha faragha kuijadili Qatar

    Bin Salman na Bin Zayed wafanya kikao cha faragha kuijadili Qatar

    Dec 20, 2020 10:28

    Baadhi ya duru za kuaminika zimeripoti kuwa mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia na mwenzake wa Imarati (UAE) wamefanya kikao cha faragha cha kuzungumzia kadhia ya Qatar.

  • Mwanaharakati mwanamke wa Saudia sasa atuhumiwa kufanya ujasusi dhidi ya nchi hiyo

    Mwanaharakati mwanamke wa Saudia sasa atuhumiwa kufanya ujasusi dhidi ya nchi hiyo

    Dec 06, 2020 03:46

    Mwanaharakati mwanamke mtetezi wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia ambaye amefungwa jela kwa kupigania kuondolewa marufuku ya wanawake kuendesha gari sasa anakabiliwa na mashtaka ya kufanya ujasusi kwa manufaa ya baadhi ya nchi za Ulaya.

  • Khatibzadeh: Uhawabi ndio chimbuko la chuki na ugaidi katika eneo na nje yake

    Khatibzadeh: Uhawabi ndio chimbuko la chuki na ugaidi katika eneo na nje yake

    Dec 04, 2020 03:58

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, makundi yote ya kigaidi katika eneo la Asia Magharibi yamepewa mafunzo ya elimu katika madrasa zinazofadhiliwa kifedha na Saudi Arabia.

  • Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudia laishambulia vikali Ikhwanul Muslimin ya Misri

    Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudia laishambulia vikali Ikhwanul Muslimin ya Misri

    Nov 11, 2020 11:33

    Baraza la Maulamaa Wakuu wa Saudi Arabia limeiita harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin ya Misri "kundi la kigaidi" na kudai kwamba fikra zote za kufurutu mpaka katika Uislamu zimetokana na harakati hiyo.

  • Kukosoa Maulamaa wa Afghanistan kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW

    Kukosoa Maulamaa wa Afghanistan kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW

    Nov 01, 2020 23:02

    Maulamaa nchini Afghanistan wamekosoa vikali kimya cha Saudi Arabia mbele ya kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW.

  • Amnesty: Mwakilishi wa HAMAS aliyeko jela Saudia amewekwa kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu

    Amnesty: Mwakilishi wa HAMAS aliyeko jela Saudia amewekwa kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu

    Oct 06, 2020 00:11

    Shirika la Msamaha Duniani, Amnesty International limesema, mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS aliyeko jela nchini Saudi Arabia anaishi kwenye mazingira yasiyo ya kibinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS