Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha

    Msemaji wa Ansarullah: Vita vya Yemen ni wenzo wa kufanikisha "Muamala wa Karne"

    Sep 14, 2018 19:28

    Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa vita vya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen ni kibiashara inayotumiwa na Marekani ili kuendeleza njama mpya ya Washington na Wazayuni ya "Muamala wa Karne" dhidi ya Palestina.

  • Utawala wa Aal-Saud washadidisha siasa za ubaguzi wa kimadhehebu katika mwezi Muharram

    Utawala wa Aal-Saud washadidisha siasa za ubaguzi wa kimadhehebu katika mwezi Muharram

    Sep 12, 2018 22:12

    Sambamba na kuanza mwezi wa Muharram ambao ndani yake Waislamu hufanya maombolezo ya kukumbuka tukio chungu la Ashura la kuuawa shahidi Imam Hussein (as) mjukuu wa Mtume (saw), askari wa utawala wa Aal-Saud wameanzisha ukandamizaji wa kimadhehebu katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa Shia.

  • Serikali ya Saudia yampandisha kizimbani mwendesha vipindi wa TV kwa kuiunga mkono Ikhwanul Muslimin

    Serikali ya Saudia yampandisha kizimbani mwendesha vipindi wa TV kwa kuiunga mkono Ikhwanul Muslimin

    Sep 11, 2018 00:15

    Mahakama ya Jinai nchini Saudia imemsomea mashitaka mwendesha vipindi wa televisheni ya nchi hiyo kwa tuhuma za kuiunga mkono harakati ya Ikhwanul Muslimin.

  • Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora

    Sep 09, 2018 23:07

    Mshauri wa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi Yote ya Iran katika masuala ya viwanda vya kijeshi amesisitiza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitafanya mazungumzo kuhusu uwezo wake wa makombora."

  • Vipigo vya makombora ya Yemen dhidi ya mishipa ya kiuchumi ya Saudia na Imarati

    Vipigo vya makombora ya Yemen dhidi ya mishipa ya kiuchumi ya Saudia na Imarati

    Sep 05, 2018 01:40

    Jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen zimeamua kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Saudi Arabia na wavamizi wenzake, kupitia kushambulia kwa makombora mishipa ya kiuchumi ya Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

  • Uhispania yafuta mkataba wa kuiuzia Saudia mabomu 400

    Uhispania yafuta mkataba wa kuiuzia Saudia mabomu 400

    Sep 04, 2018 09:06

    Uhispania imetangaza kubatilisha mkataba wa kuiuzia Saudi Arabia mabomu 400 yenye thamani ya Euro milioni 9.2 kufuatia jinai za hivi karibuni za muungano unaoongozwa na Saudia ambao umeua idadi kubwa ya watoto Wayemen.

  • Hizbullah: Kukombolewa Idlib kutapiku turufu ya mwisho ya Marekani, Israel na Saudia nchini Syria

    Hizbullah: Kukombolewa Idlib kutapiku turufu ya mwisho ya Marekani, Israel na Saudia nchini Syria

    Sep 03, 2018 03:24

    Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, kukombolewa mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria ambayo ni ngome ya mwisho ya magaidi katika nchi hiyo litakuwa pigo kubwa kwa Magharibi, Marekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia.

  • Majeshi wa majini ya Yemen yalenga meli ya kivita ya Saudia pwani ya Jizan

    Majeshi wa majini ya Yemen yalenga meli ya kivita ya Saudia pwani ya Jizan

    Sep 01, 2018 21:50

    Majeshi ya majini ya Yemen, yakishirikiana na Kamati za Wananchi, yamelenga meli ya kivita ya Saudia katika eneo la mpakani la Jizan kusini magharibi mwa Saudi Arabia.

  • Saudia na Imarati zinailaghai Jordan iunge mkono mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne

    Saudia na Imarati zinailaghai Jordan iunge mkono mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne

    Aug 31, 2018 23:38

    Mbunge wa Jordan, Khalid Ramadhan amefichua hila na ulaghai mpya unaofanywa na Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati wa kuishawishi Jordan iunge mkono mpango wa Marekani wa kuiangamiza Palestina unaojulikana kama "Muamala wa Karne".

  • Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen

    Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen

    Aug 31, 2018 02:02

    Balozi wa Qatar nchini Marekani amezishutumu Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuwa na ushirikiano wa siri na magaidi wa al-Qaeda nchini Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS