-
London yapiga marufuku matangazo ya kujitafutia sifa Bin Salman katika televisheni ya Uingereza
Aug 29, 2018 10:42Idara ya Mawasiliano ya Uingereza OFCOM imezuia matangazo yanayolipiwa na mrithi wa kitu cha ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman ambaye anatumia matangazo hayo kujitafutia sifa na kutangaza siasa zake anazoziendesha nchini Saudia kupitia televisheni za Uingereza.
-
Jeshi la Yemen: Saudia inatumia mapato ya Hija kuua watu wa Yemen
Aug 28, 2018 04:26Naibu msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa mapato yanayotokana na Hija yanatumiwa na Saudi Arabia kwa ajili ya kuua Waislamu nchini Yemen.
-
Ethiopia yafanya juhudi za kuachiwa huru tajiri wa nchi hiyo aliyetiwa mbaroni Saudia
Aug 26, 2018 03:21Waziri Mkuu wa Ethiopia amesisitiza kuwa nchi hiyo inaendelea kufanya juhudi za kuhakikisha kuwa mfanyabishara aliyekamatwa nchini Saudi Arabia anaachiwa huru.
-
Saudi Arabia yaizuia meli iliyobeba mafuta iliyokuwa ikielekea Yemen
Aug 26, 2018 02:46Muungano vamizi huko Yemen unaoongozwa na Saudi Arabia umeizuia meli moja iliyokuwa imepakia bidhaa za mafuta iliyokuwa ikielekea katika bandari ya al Hudaydah magharibi mwa Yemen.
-
Canada yaikosoa tena Saudia kwa kumhukumu kifo mwanaharakati wa haki za binadamu
Aug 23, 2018 03:23Serikali ya Canada imekosoa tena ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini Saudi Arabia hususan hatua ya utawala huo wa kifalme ya kumhukumu kifo mwanaharakati mwanamke wa haki za binadamu.
-
Kamata kamata yaendelea nchini Saudi Arabia
Aug 19, 2018 23:25Birjas Hamoud al Birjas, Mshauri wa zamani wa Kampuni ya Mafuta na Gesi Asilia ya Saudi Arabia (ARAMCO) ambayo ni kampuni kubwa zaidi ya mafuta nchini humo pia ametiwa mbaroni katika kamatakamata inayoendelea nchini Saudia.
-
Bomu lililotumika kuua watoto Yemen liliundwa Marekani
Aug 19, 2018 02:38Wataalamu wa silaha wamethibitisha kuwa bomu ambalo lilitumiwa na ndege za kivita za Saudia hivi karibuni kushambulia basi la shule na kuua makumi ya watoto lilitengenezwa Marekani.
-
Saudia inadhamini nakisi ya bajeti yake kwa kuongeza gharama za Hija
Aug 18, 2018 23:38Saudi Arabia inakidhi nakisi ya bajeti yake ya mwaka kwa kuzidisha gharama za ibada ya Hija, suala ambalo limewakasirisha mahujaji kutoka nchi mbalimbali hususan mahujaji kutoka Misri.
-
Uhispania kutazama upya mazingira ya kuiuzia silaha Saudi Arabia
Aug 14, 2018 22:02Sambamba na kuendelea uvamizi na hujuma ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen ambayo imekuwa ikisababisha mauaji ya kikatili dhidi ya raia na hata watoto wadogo, serikali ya Uhispania imetangaza kuwa, inatazama upya mazingira ya kuiuzia silaha na zana za kijeshi Riyadh pamoja na mataifa mengine yaliyoko katika muungano wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Aal Saud.
-
Watunisia waandamana kulalamikia ubaguzi wa Saudia katika kutoa viza kwa ajili ya Hijja
Aug 14, 2018 10:33Raia wa Tunisia wamefanya maandamano kulalamikia siasa za kibaguzi zinazotekelezwa na Saudi Arabia katika kutoa viza kwa ajili ya kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu.